Timothy Marko.
Shilika la
Maendeleo ya petrol na Mafuta nchini (TPDC) limesema kuwa serikali ipotayari
kuingia mikataba yauchimbaji wa mafuta nagesi na wawekezaji wa nje na ndani
yanchi itakayowezesha watanzania kunufaika narasmali hiyo.
Akizungumza
katika semina ya siku mbili kuwajengea uwezo waandishi juu yamasuala uchimbaji
na uwekezaji katika sekta ya gesi na mafuta Mkurugenzi wa utafutaji
nauendelezaji wamiradi ya mafuta nagesi wa shilika la TPDC Kelvin Komba,
amesema kuwa kuekuwepo nautofauti ya kati ya mikataba ya gesi na ile ya madini
.
‘’serikali
itatumia mikataba itakayo wanufaisha wananchi nakuhakikisha TANZANIA inanufaika
na mapato yatokanayo na gesi namafuta kwani mikataba hii nitofauti na ile
ya madini ‘’Alisema Mkurungenzi Kevin
Komba .
Mkurugenzi
kelvin KOMBA alisema kuwa serikali ipo katikahatua za awali katika kufanya
mazungumzo nawawekezaji wa sekta hiyo muhimu katikaujenzi wamiundombinu kwani
ujenzi wamiundombinu hiyo hutumia kipindi kirefu kuamilika na yenye kuhitaji
kiasi kingi cha fedha kukamilisha miradi ya gesi .
Alisema kuwa
kuhusiana nauchimbaji wa gesi na mafuta Bandari ya lindi imekuwa nasifanzuri
yakimazingira ilikuwezesha mchakato wa uchimbaji wa mafutana gesi
.
‘’uchimbaji
huu unakabiliwa nachangamoto nyingi ikiwemo ukosefu wa watalamu lakini tumeweza
kuijengea uwezo wa vyuo vyetu vya ufundi kukabiliana na changamoto ya
ramaliwatu ‘’Aliongeza Kelvin Komba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni