Timothy Marko
SHIRIKISHO
la waganga wa Tiba asili nchini limeiomba serikali Kuweza kupitia kwaupya
kusiana na zoezi la kusajili watabibu watiba asilia .
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es salam mapema hii leo Mwenyekiti wa baraza
la waganga Tanzania Shaka Mohamed Shaka amesema kuwa hatua hiyo yakurejea zoezi
lausalijili watibabu wa asilia limetokana na kuwepo kwa gharama kubwa za
usajili hali inayochangiwa waganga hao kutoweza kumudu gharama hizo .
‘’Uzoefu
tulionao Gharama za kupima sampuli moja moja ni dola za kimarekani miananane
ambazo nisawa nisawa laki nane za kitanzania ,hizi nipesa nyingi sana kwawatibabu
kuweza kumudu gharama hizo’’ Alisema Mwenyekiti Wa baraza la waganga Shaka
Mohamedi SHAKA .
Mohamedi
SHAKA alisema kuwa kumekuwepo nakundi linalo jihusisha natiba asili ambalo
halija sajiliwa na baraza hilo ambalo likijipatia fedha nyingi sana kuliko wale
waliopo vijini ambao ni wahali yachini hawawezi kuzimudu gharama hizo .
Alisema
kundi hilo limekuwa likionekana ndilo halali kwaminadi yakuwa likitumia fedha
nyingisana katika uendeshaji na tiba za
kisasa wakati huo huo kundi la tiba asilia limeonekana halina taaluma ya tiba
asilia .
‘’Gharama za
tiba asili kwa waganga wakweli wa tiba asili ni shilingi hamsini elfu ,lakini wao
ni mamilioni nawagonjwa wao waliowengi hawapati nafuu’’Aliongeza Shaka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni