Jumanne, 5 Januari 2016

SUMATRA YATOA MAPENDEKEZO YA GHARAMA ZA NAULI ZA MWENDOKASI




Timothy Marko.
MAMLAKA ya usafishaji wa majini nanchi kavu nchini(SUMATRA) imetoa mapendekezo ya Gharama za nauli za mabasi ya mwendokasi kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa huduma ya usafirishaji nakuwataka wadau hao kutoa maoni yao juu yamwenendo wa gharama hizo .

Mapendekezo hayo yanayolenga kwa mtumiaji wa mabasi yamwendokasi kutumia huduma hiyo kwakuchangia shilingi 1200 kwa ruti ndefu na shilingi 1400 kwanjia kuu nashingi 1000 kwa mwanafunzi atakaye tumia usafiri huo.

Akizungumza katika mkutano wa wadau wa sekta yausafirishaji nchini Mkurugenzi wa Mamlaka ya usafirishaji na majini (SUMATRA) Afred Ngewe amesema kuwa mapendekezo yaviwango hivyo vya nauli kwa watumiaji wa usafiri wa mwendokasi kutokana nasheria ya usafirishaji ya Sumatra yanamba 9 ya mwaka 2001 kuitaka mamlaka hiyo kuweza kukutana na wadau wake ilikuweza kujadili mwenendo wa gharama za nauli ilikuweza kufikia muafaka .

‘’kupitia Viwango vya nauli vya mabasi yaendayo haraka (rapid Transpot)nijambo la kisheria ambapo mamlaka ya usafirishaji Sumatara  sheria namba 9 yamwaka 2001 inainisha kuwa nilazima kuwepo kwa maombi ya mtoa huduma  nakutana nawadau ilikuweza kutoa maoni yao baada ya siku 14 kwa maandishi’’Alisema Mkurugezi Afred NGEWE 
.
Mkurugenzi Afred NGEWE Alisema kuwa mpango huo wa ushirikishwaji wa dau mbalimbali  wasekta hiyo  unalenga kuwashirikishi na unaofuata misingi yakisheria .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni