Jumanne, 15 Desemba 2015

WANASHERIA WATAKIWA KUMALIZA KESI ZAO KWA WAKATI.

Timothy Marko. WANASHERIA nchini wametakiwa kuhakikisha kesi zinamalizika kwa wakati na kuzingatia ubora wa mamuzi ya nayotelewa kwa teja wao maneno hayo yamesemwa na jaji mkuu wakati Jaji OTHUMAN CHANDE wakati wakuwahawapisha mawakili wapya 104 kwenye viwanja vya karimjee jijini. Jaji chande amesema kuwa katika kutekeleza kazi ya kuihudumia jamii mwakakili wanapswa kuwa watatuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wakabili wanajamii katika kuwawezesha wanajamii hao kuweza kupata haki kwa wakati nakuzingatia misingi ya uwakili bora. ‘’MWANASHERIA na wakili anapaswa kuwa mtatuzi wa changamoto za kisheria kwa jamii na kuwa sio tu wakili bali wakili bora anaye ihudumia jamii ili iweze kupata haki na usawa ‘’ Alisema jaji CHANDE . JAJI CHANDE alisema kuwa katika utendaji nautatuzi wachangamoto zinazo ikabili jamii kwenye sekta hiyo nilazima maofisa wamahakama wanao wajibu wakutekeleza ikiwemo kusimamia haki na usawa kwa wateja wanao wahudumia ilkuweza kuuhakikisha misingi ya utoaji haki ninafuatwa . Alisema kuwa tansia hiyo imekuwa mstari wambele katika kuhihudumia jamii nakuwa suala la kuihudumia jamii katika tasinia hiyo niswala ambalo halina mjadala bali nikwamujibu washeria na niwajibu wa tasinia hiyo. ‘’katika tasinia huduma kwajamii sio kitu cha mbadala bali ni wajibu kwa mujibu washeria na kwamujibu wa taaluma yetu ,taluma hii imekuwa mstari wambele katika utatuzi wachangamoto za kisheria kwa jamii ‘’Aliongeza JAJI chande.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni