Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumanne, 8 Desemba 2015
CCM YAPONGEZA KASI YA MAGUFULI KATIKA KUTUMBUA MAJIPU .
Timothy Marko.
KAMATI KUU ya chama cha Mapinduzi (CCM) kimeupongeza uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jonh POMBE Magufuli juu ya utekelezaji wa usimamizi wa mapato ya serikali .
Akitoa pongezi hizo katika mkutano na waandishi uliofanyika katika ofisi za makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam Katibu wa chama cha mapinduzi (CCM)ABDLAHIMAN KINANA amesema kuwa juhudi zinazofanywa na uongozi wa awamu ya tano ambao upo chini ya Rais Pombe Magufuli katika kuielekeza mamlaka ya mapato nchini TRA kuweza kukusanya mapato ya serikali ipasavyo jambo hilo nilakupongezwa
.
‘’Juhudi hizi za awamu ya tano kwamuda mfupi zimeanza kuzaa matunda ambayo yanaonekana wazi,aidha kamati kuu inawataka wahusika wamaeneo mbalimbali kwenye maeneo hayo yakudhibiti wa vyanzo vya mapato kuweza kutoa ushirikikiano kwa serikali ili lengo liweze kutimia ‘’Alisema Katibu Mkuu Abdlahiman Kinana.
Abdlahiman KINANA alisema kuwa kutokana namaagizo yaliyo elekezwa katika ilani yauchaguzi ya mwaka 2015-2020 ambapo Ili itaka serikali inayongozwa na chama hicho kuweza kudhibiti matumizi yasiyo yalazima hivyo Rais huyo hana budi kupongezwa kwa uamuzi wake dhidi ya jambo hilo .
Alisema kuwa mbali nakudhibiti mapato yaserikali ,pia kamati kuu ya chama hicho inampongeza Rais Magufuli kwa kuweza kusimamia uwajibikaji wa watendajiwa serikali katika mashirika ya umma na kuweza kuboresha kiwango cha utoaji wa huduma katika mashirika hayo.
‘’kamati kuu inaunga mkono juhudi hizi na kuwataka wote wanahusika kwanamna moja ama nyingine juu yaudhibiti wa matumizi yasiyo yalazima nakuwataka wananchi pamoja na chama kuunga mkono juu ya jitihada hizo’’Aliongeza Kinana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni