Jumanne, 24 Novemba 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WATENDAJI WASERIKALI ZAMITAA KUTEKELEZA MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI.

Timothy Marko. WAZIRI MKUU wa jamuhuri yaMuungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa amewata watendaji wa ofisi ya Tamisemi kutekeleza na kutatua kero za wananchi nakuachana natabiaza uzembe,ubadilifu wizi na kuifuatilia maagizo yaliyotolewa kwenye hotuba yaRais katika ufunguzi wa bungealilotoa mjini Dodoma hivi karibuni. Akizungumza katika kikao kilicho wakutanisha watendaji wa ofisi ya Tamisemi Waziri Kasimu MAJALIWA amesema kuwa nivema watendaji hao kushughulikia kero za wanachi ikiwemo uzembe ubadilifu wizi kwa baadhi ya watendaji hao waserikali. ''Niwataka watendaji watendaji waserikali za mitaa kutatua kero ikiwemo tatizo la ukosefu wa madawati ,ujenzi wa madarasa pamoja ujenzi wa nyumba za walimu ''Alisema waziri mkuu KASIMU Majaliwa . Waziri Majaliwa alisema kuwa nilazima watendaji wa hao waweze kuanza utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa BRN Ikiwemo utendaji nakuimalisha usafi katika halimashauri zote na yeyote atatakaye kiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria . ''KWENYE mkakati wa Matokeo makubwa sasa Big Result Now (BRN)niwataka watendaji wa halimashurizote zajijini kuimarisha suala la usafi na toa onyo kwatendaji wahalimashauri kwa kuwataka kusimamia masuala mbalimbali ya usafi ''Aliongeza waziri MKUU MAJALIWA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni