Timothy
Marko.
KUFUATIA
vyama vinaonyunda katiba yawananchi (ukawa) kumshutumu waziri wa uchukuzi
Samweli Sita kuwa amehusika katika manunuzi ya mabehewa hewailiyokuwa shirika
la la reli nchini (TRL) WAZIRI huyo
amekanusha tuhuma hizo zilizozotolewa juzi katika uzinduzi wa kampeni umoja
wa katiba yawananchi nchini .
Akizungumza
nawaandishi wa Habari mapema hii leo
Waziri Samweli Sitta amesemakuwa kuna utaratibu maalum wakutoa zabuni kwajili yaununuzi wamabehewa
hayo ambapo ofisi yake ili mtuma
muhandisi wa wizara hiyo wakufuatialia manunuzi ya mabehewa hayo nchini india .
‘’Waliotumwa
kwenda india walikuwa ni waandisi walifuata taratibu za uhandisi ikiwemo
kufuata mnyambuliko wa spring zilizopo kwenye mabehewa hayo ,natuhuma
zinazotolewa dhidi yangu kuwa kuna mabehewa hewa si yakweli ‘’Alisema Samweli Sitta.
Sitta
alisema kuwa kawaida ya mtu anapotafuta uongozi wa kuiongoza nchi nilazima
achambuliwe kama yeye ni mwadilifu ama la nakusitizakuwa kuna watu hawana nia njema nakiongozi huyo
nawanafurahi endapo yeye atajiuzulu
kutokana nakashifa hiyo.
Alisema
kufuatia sakata hilo tayari wizara yake
inafanya uchunguzi kusiana nasuala hilo ,ambapo alisititiza kuwa tayari
watu watano walipo katika wizara yake
wanaendelea kuchunguzwa nakesi zao
zipo mahakamani.
‘’Watano
wanaotuhumiwa tayari wameshafunguliwa mashita ka nakesi zao zipo mahakamani ili
waweze kutoa ushaidi mahakamani’’Aliongeza
WAZIRI Sitta.
Katika hatua
nyingine waziri huyo wauchukuzi alisema kuwa wizarayake inafuatilia kwaukaribu juu yamchakato wa
liliokuwa shirika la ndege ATC
kulipwa madeni yake ambapo benki ya TIB ipo tayari kulikopesha shirika hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni