Timothy Marko .
TUME
yauchaguzi nchini(Nec) imesema kuwa itatumia vigezo maalumu katika kuyagawa
majimbo ya uchaguzi ikiwemo idadi yawatu katika jimbo husika la uchaguzi .
Akizungumza
katika mkutano nawaandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo Kaimu
mkurugenzi wa tume hiyo Kailima Ramadhani amesema kuwa idadi hiyo katika
majimbo hayo itapatikana kwa kuchukua idadi yawatu waliopo nchini na kugawa nya
majimbo yaliopo .
‘’Idadi hii
itazingatia hali halisi ya idadi yawatu walipo katika maeneo yavijijini na
mijini majimbo yatakayokidhi kigezo hiki ndiyopekee yatakayoendelea kufikiriwa
kwa kuwekewa vigezo vingine ‘’alisema Kailima Ramadhani .
Ramadhani
alisema kuwa vigezo vingine nipamoja na hali yaupatikanaji wa mawasiliano
nakuweza kufikiwa na huduma zingine ikiwemo barabara na vyombo vya habari redio
na magazeti .
Alisema kuwa
sambamba naupatikanaji wa njia ya mawasiliano pia ugawaji wa majimbo hayo
yauchaguzi utazingatia hali ya kijografia ilkukuza ufanisi zaidi .
‘’vigezo
vinginevyo nipamoja nahali yakuchumi maeneo yaliyo kuwa chini zaidi kuchumi
yatafikiriwa zaidi katika ugawaji wa majimbo kuliko maeneo yalioendelea
kiuchumi zaidi ,takwimu zitakazotumika niukusanyaji wa mapato kutoka tamisemi
‘’Aliongeza kailima ramadhani .
Kaimu
mkurugenzi wa tumehiyo aliongeza kuwa eneo jngine litakalo zingatiwa nimamoja
na mipaka ya kiutawala tume hiyo itafanya mabadiliko kutokana hali yamipaka
yakiutawala .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni