Alhamisi, 26 Machi 2015

KAMPUNI KYMU YA TEKA SOKO LA UUZAJI WA BIDHAA NCHINI TANZANIA .

Timothy Marko.
KAMPUNI  kimataifa ya kaymu iliyopo nchini korea imezindua huduma yake yakuuza naakununua bidhaaziazotoka nchini korea  kwanjia yamtandao .
Akizungumza nawaandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo Meneja wa mauzo Erfaan Mojgan amesema  kuwa huduma hiyo yakununua bidhaa kwa njia ya mtandao itawezesha wadau mbalimbali wakiwemo wateja kuweza kufanya manunuzi ya bidhaa nakuweza kusafirisha  bidhaa kwa wakati mmoja ilkuweza kupunguza tatizo leucheleweshaji wa bidhaa kutoka nje yanchi .
‘’HII ni njia nyingine yakuwa saidia wadau wenzetu wa wa usafirishaji kuweza kusafirisha bidhaa nyingi kwa wakati moja nakwenda eneo jingine hivyo kuweza kupunguza ucheleweshaji wabidhaa katika eneo husika ‘’Alisema Erfaan Mojgan .
Mojgan alisemakuwa lengo lakufungua tawi katika nchi ya Tanzania nikuweza kukuza biashara kati yake na nchi ya Tanzania ilikuweza kupata manufaa makubwa kibiashara .
Alisema kuwa wateja wake wanaweza kutafuta bidhaa kwa njia yamtandao kwakutumia anuani yatovuti ambayo ni Kaym.co.tz ilkuweza kupata bidhaa mbalimbal zinazo uzwa kwa njia mtandao .
‘’wanaweza kutafuta bidhaa zetu kwanjia yamtandao kwa kutumia anuani yatovuti ambayo ni Kaym .co .tz ambapo mteja atakuwa nawigo mpana wakununua bidhaa kwa njia mtandao .’’Aliongeza   Mojgan.  
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni