Alhamisi, 18 Desemba 2014

WAZIRI WA ARIDHI NYUMBA NAMAKAZI AKANUSHA MADAI YAKUHUSIKA KATIKA SAKATA LA ESCROW .

BAADHI YAWAANDISHI WAHABARI WAKIMSIKILIZA WAZIRI WANYUMBA NAMAKAZI PROFESSA ANNA TIBAJUKA AKITOA UFAFANUZI JUU YA TUHUMA ZILIZOIBULIWA NA KAMATI YABUNGE YAMAHESABU YASERIKALI PAC KUHUSISHWA JUU YA UCHOTWAJI WAFEDHA KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW AKAUNTI.

WAZIRI WA ARIDHI NYUMBA NAMAKAZI ANNA TIBAJUKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI MAPEMA HII

Timothy Marko.
KUFUATIA tuhuma zilizoibuliwa na ripoti ya kamati ya mahesabu yaserikali yabunge ikimutuhumu waziri wanyumba ardhi namakazi PROFESSA ANNA TIBAJUKA juu ya kuhusika katika  uchotwajiwa wafedha katika akaunti ya Escrow waziri huyo amekanusha madai hayo yaliyoibuliwa nakamati hiyo inayoongozwa na zitto kabwe mbungewa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chama demokrasia namaendeleo (CHADEMA ).
Akizungumza mapema hii leo jijini Dar es salam Waziri wa ardhi nyumba namakazi amesema kuwa  JAMES RWEGAMALILA Alimwomba achangie fedha katika shule ya wasichana ijulikanayo kama BARBRO GIRLS JOHANSSON EDUCATION TRUST anayomiliki wazirhuyo Ilikuwa wezesha wasichana hao kuweza kupata elimu .
‘’Ndipo Bwana JAMES Rwegamalia alichangia kiasi cha shilingi bilioni moja namilioni mia sita ambaye anamiliki kampuni ya enginiearing and Marketing limited’’Alisema Waziri professa ANNA Tibajuka .
WAZIRI tibajuka alisemakuwa katika kuhakikisha wasichana wanapata elimu waziri huyo aliamua kuanzisha shulehiyo mwaka 1999ikiwa nalengo yakuwainua wasichana hao .
Alisema awali mlezi mkuu washulehiyo alikuwa ni Rais Benjamini mkapa ambaye alikuwa mchangiaji mzuri katika kuikomboa shule hiyo yawasichana ambapo kwakushirikiana naserikali yasweeden iliweza kufadhili shule hiyo .
‘’nilisaidiwa sana na RAIS Benjamini Mkapa pamoja naserikali yasweeden nimfadhili mkubwa wa shule hii yawasichana ilkuwawezesha wasichanahawa kupata elimu’’aliongeza Professa Anna Tibajuka .
Ambapo waziri huyo aliongeza kuwa bwana rwegamalila atamchangia fedha hizo kupitia benki ya mkombozi .
LEO JIJINI D AR ES SALAM.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni