Timothy Marko.
WAKATI Taifa
likiwa katika kimya kizito kuusubiri uamuzi wa utekelezaji wa maazimio ya bunge kwa Rais Jakaya kikwete juu
iliyokuwa akaunti ya tegeta Escrow kwa watuhumiwa wanaodaiwa kuchota fedha hizo
zaidi yabilioni 300 mapema hii leo Aliyekuwa mkagauzi wa mahesabu
yaserikali Ludoviki UTOUH amekataa kulizungumzia swalahilo pindi
alipoulizwa nawaandishi wa habari mapema hii leo katika mkutano wa waandishi wa
habari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar es salaam.
Akizungumza
jijini humo aliyekuwa mkaguzi mkuu wa mahesab u yaserikali LUDOVIKI UTOUH
amesemakuwa kutokana ripoti iliyotolewakatika kamati yabunge imeonyesha
mapendekezo ya namna yahatua zinazoweza kuchukuliwa juu wanaotuhumiwa na uchotwaji wa akaunti yaescrow hivyo lazima
kampuni ya IPTL ifanye ukaguzi wa kimahesabu wa fedha zilizo ikuweza kujua
kiasi gani chafedha zilizoweza kuchotwa nakuisababishia hasara shilika la umeme
tanesco .
‘’Naomba
nisilizungumzie suala hili la Escrow jibu lanini kifanyike kwa watuhumiwa jibu
lipo katika ripoti napendekeza kampuni ya Kuzalisha umeme ya Iptl ifanye
calculation ‘’Alisema Ludovic Utto.
Alisema kuwa
kutokana nataarifa zilizokuwepo katika mamlaka ya mapato TRA Haikufanya ukaguzi
wafedha zaidi Shilingi bilioni 25 hazikuweweza kukaguliwa .
Uttoo
Alisema kuwa nilazima mihimili ya dola
isingiliane katika kutafuta ukweli nakutekeleza majukumu yake lazima bunge na
mahakama iwe na mipakayake .
‘’kabla ya
kufikia maamuzi nilzima kuwe na maridhiano katika kujadili maswala mbalimbali
‘’Aliongeza MKAGUZIWA HESABU ZA SERIKALI
Habari zilizopatikana hivipunde: Rais jakaya KIKWETE amemuengua
uwaziri wa nyumba nana makazi Professa Anna Tibaijuka baada kutuhumiwa
kuugawiwa fedha na Bw james RWEGEMALILA Kwa ujenzi wa shule yake iliyopo
pembezoni mwa Dar es salaam.
Huku WAZIRI
wanishati namadini SOSPETER Muhongo akiwa katika uchunguzi wa madai yake juu
yakuhusika nauchotwaji fedha katika akaunti ya ESCROW.
MKAGUZI MKUU MSTAAFU LUDOVICK UTTOH AKIPEWATUNZO YAHESHIMA JIJINI LEO. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni