WAZIRI WA ARIDHI NYUMBA NAMAKAZI ANNA TIBAJUKA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI MAPEMA HII
Timothy
Marko.
KUFUATIA tuhuma zilizoibuliwa na ripoti ya kamati
ya mahesabu yaserikali yabunge ikimutuhumu waziri wanyumba ardhi namakazi
PROFESSA ANNA TIBAJUKA juu ya kuhusika katika
uchotwajiwa wafedha katika akaunti ya Escrow waziri huyo amekanusha
madai hayo yaliyoibuliwa nakamati hiyo inayoongozwa na zitto kabwe mbungewa
kigoma kaskazini kwa tiketi ya chama demokrasia namaendeleo (CHADEMA ).
Akizungumza mapema hii leo jijini Dar es salam
Waziri wa ardhi nyumba namakazi amesema kuwa JAMES RWEGAMALILA Alimwomba achangie fedha
katika shule ya wasichana ijulikanayo kama BARBRO GIRLS JOHANSSON EDUCATION
TRUST anayomiliki wazirhuyo Ilikuwa wezesha wasichana hao kuweza kupata elimu .
‘’Ndipo Bwana JAMES Rwegamalia alichangia kiasi cha
shilingi bilioni moja namilioni mia sita ambaye anamiliki kampuni ya
enginiearing and Marketing limited’’Alisema Waziri professa ANNA Tibajuka .
WAZIRI tibajuka alisemakuwa katika kuhakikisha
wasichana wanapata elimu waziri huyo aliamua kuanzisha shulehiyo mwaka
1999ikiwa nalengo yakuwainua wasichana hao .
Alisema awali mlezi mkuu washulehiyo alikuwa ni
Rais Benjamini mkapa ambaye alikuwa mchangiaji mzuri katika kuikomboa shule
hiyo yawasichana ambapo kwakushirikiana naserikali yasweeden iliweza kufadhili
shule hiyo .
‘’nilisaidiwa sana na RAIS Benjamini Mkapa pamoja
naserikali yasweeden nimfadhili mkubwa wa shule hii yawasichana ilkuwawezesha
wasichanahawa kupata elimu’’aliongeza Professa Anna Tibajuka .
Ambapo waziri huyo aliongeza kuwa bwana
rwegamalila atamchangia fedha hizo kupitia benki ya mkombozi .
LEO JIJINI D AR ES SALAM. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni