Timothy
Marko
WAZIRI wa tawala zamikoa naserikali za mitaa (Tamisemi )Hawa Ghasia amewafukuza kazi
wakurugenzi watano waliopo katika halimashauri mbalimbali baada kuonesha
utendaji mbovu wa kusimamia uchagu zi wa serikali za mitaa kwenye halimashauri
zao .
Akizungumza nawaandishi wa habari mapemahii leo
jijini Dar es salaam waziri wa tamisemi HAWA GHASIA amesema kuwa wakurugenzi
hao ni pamoja na FELIX TMabula katika halimashauri ya hanang’,FORTUNAUS FWEMA
wa mbulu ,ISABELA CHILUMBA wa ulanga
,pendo Malabeja kutoka kwimba pamoja na wiliam shimwela wa
manispaa ya sumbawanga .
‘’Aidha wakurugezi hawa watatu wanapewa onyo kali
na kuwekwa chini ya uangalizi kubaini kama wanaudhaifu mwingine ili waweze
kuchuku liwa hatu zaidi za kinidhamu nao ni Mohamedi A Maje kutoka Rombo ,Hamis
yuna kutoka busega na Jovin A jungu kutoka Muheza ‘’Alisema Waziri watamisemi
HAWA GHASIA .
Waziri HAWA GHASIA alisemakuwa wakurugenzi wengine
waliopewa onyo nipamoja na Isaya Mngulumikutoka ilala , Medikizedeki Humbe
kutoka kata hai pamoja WALLace KARIA
kutoka wilaya mvumero mkoani arusha.
Alisema kufuatia onyo hilo waziri ghasia aliwataka
watendaji wa serikali za mitaa kuzingatia majukumu yao wawapo kazini kwa
kuzingatia weledi na uadilifu ilikuepuka kasoro zinzoweza kuepukwa .
WAZIRI HAWAGHASIA akizungumza nawaandishi wa habari mapemahii leo , hawapo pichani .jiijini DAR ES SALAAM. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni