Jumanne, 2 Desemba 2014

WAJUMBE WA CHAMA CHAWANANCHI CUF WAFANYA MKUTANO WA MWAKA

 baadhi ya wanachama cha wananchi cuf wakihudhuria katika mkutao wakitaifa ulifanyika jijini mapema hii leo

Add caption


 

Timothy Marko.
KATIKA  kuhakisha vijana wanatatuliwa kero zao ikiwemo tatizo lakukosefu wa ajira nchini Umoja wa vijana wa chama cha Demokrasia  na maendeleo (BAVICHA )naibu wa umoja huo Getrude Ndimalema amewataka wajumbe wachama hicho kuwachagua viongozi watakaweza kutatua Changamoto zinazo ikabili nchi ikiwemo ukosefu wa ajira hapa nchini .
Akizungumza mapema hii leo jijini Dar es salaam Naibu wa umoja wavijana wa chama cha Demokrasia na maendeleo (BAVICHA)amesema kuwa kundi la vijana ndio lenye nguvu kwa hivi sasa katika kuleta mabadiliko yakiuchumi nakisiasa hivyo lazima kundi hilo lijitambue nakutokubali  kurubuniwa na wana siasa .
‘’Kama wazee wachache kama jaji warioba hasikilizwi sasa niwakati wavijana kuchukua nafasi zetu nakuanza kufanya mbadiliko ili tuweze kujikwamua kiuchumi ikiwemo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa naule wamwaka ni kuwaondoa viongozi dhalimu ‘’Alisema Getrude Ndimalema .
Ndimalema aliwataka vijana kufanya maamuzi magumu kwakuwatosa viongozi wasikuwa na mwelekeo wa kuwakomboa nakuwa toa katika changamoto wana zozipitia nakuwataka viongozi watakao teuliwa nachama hicho kutobweteka nakufanya kazi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni