Jumatano, 24 Desemba 2014

TRL :TUNABORESHA HUDUMA ZETU.

Timothy  Marko
KATIKA kuhakikisha shilika la reli lina kuza huduma zake hapa  nchini  limesemakuwa linaendelea kuboresha miundombinu ya shirika hilo ikiwemo kuboresha mashine mbalimbali zinzotumika kubebea mizigo mbalimbali .

Akizungumza nawaandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Afisa Habari washirika hilo Mohamed Maponela  amesema kuwa kufuatia marekebisho yamashine za kubebea mizigo kuharibika wamewaita mafundi mbalimbali ilikuweza kutatua tatizo hilo ilkuwahakikishia wananchi huduma zilizo bora katika shirika hilo .
‘’Tumepata matatizo kidogo katika Shirika letu la reli kumekuwa na hitilifu katika mashinezetu tunafanya matengenezo ya baadhi yamashine hivyo tumeairisha ziara ya kamati yabunge kuja kutembelea katika shirika letu hivyo tutawatarifu juu yaziara hiyo siku ya jumatatu ‘’Alisema Mohamed Maponela .
Afisa habari wa Shirika la RELI nchini Mohamed Maponela akizungumza na waaandishi wa habari mapemahii leo jijini DAR ES SALAAM.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni