Timothy Marko
KATIBU WA itikadi nauenezi wa chama cha mapinduzi
CCM Nape Nauye aimetaka serikali
kutofumbia macho dosari zilizo jitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa nakuwataka
walihusika katika kubadilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuchukuliwa
hatua zakinidhamu .
Akizungumza
nawaandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam katikaofisi za chama
hicho katibu wa uenezi na itikadi Nape Nauye amesema kuwa wakati wakuficha
kasoro za uchaguzi wa serikali za mitaa umekwisha ilkuweza kuwa wajibisha
waliohusika navitendo vya kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa .
‘’Tusi mung’unye
maneno kwahili wakati picha nembo za wagombea zimechanganywa katika karatasi
zakupigia kura kwahiyo niwajibu wa halimashauri kuandaa ripoti juu yauchunguzi
wa baadhi yamatukio ya uchaguzi yaliyoleta kasoro katika uchaguzi wa serikali
za mitaa ‘’Alisema Nape Nauye .
Nape Nauye
alisema kuwa kufuatia kugaragazwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa serikali
za mitaa kwakutofautiana kwa kura ndogo na vyama vyaupinzani
vilivyoungana hivi
karibuni alisema hana shaka na muungano wao wa vyama hivyo nakuwa huo ndio
ukomavu wakisiasa .
KATIBU WA UENEZI WA ITIKADI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI MAPEMA HII LEO JIJINI DAES SALAAM. |
Alisema somo
lakugaragazwa na vyama vyaupinzani kwakushinda ushindi mwembamba haujaanza leo
umekuwa ukijitokeza hata kipindi cha awali kwahiyo hatuna hofu na muungano
wavyama vyao .
‘’Tumekuwa tumejifunza wala sio jana awali
utaratibu wa kura za maoni za mwaka 1995-2000wamekuwa tushinda nahii nikutokana
baadhi ya viongozi wamekuwa wakituhumiwa kwarushwa hivyo wananchi hutumia kama
adhabu yakutuwajibisha ‘’aliongeza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni