Jumatano, 31 Desemba 2014

KOVA AWATADHARISHA WANANCHI KATIKA KUSHEREKEA MWAKAMPYA.

Timothy  Marko
KATIKA kuhakikisha wakaazi wa jiji la Dar es salaam wanasherekea mwaka mpya kwa amani nautulivu Jeshi lapolisi kanda maalum jijini humo limewataka kusherekea sikuu hiyo ya kukaribisha mwaka kwa amani na utulivu .

Akizungumza jana katika mkutano wa waandishi wa habari jana Kamishina wa polisi kanda maalum jijini Dar es salaam Suleiman KOVAamesema jeshi hilo litawa chukulia hatua wananchi watakao piga risasi hewani kwa wale wanaomilki bunduki kisheria.

‘’Tumewaruhusu kwa wale watakapiga flash ila tumewaruhusu kwa mashariti flash hizo zitapigwa kwa muda maalum uliopangwa kwa muda wadakika tano tu’’Alisema Kamanda SULEIMAN KOVA.
Katika hatua nyingine ,Kamanda KOVA alisema kuwa hivi karibuni jeshi lake lina mshikilia kuwashikilia mtuhumiwa wa madawa yakulevya .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni