Timothy
Marko.
SERIKALI
imewataka wananchi kujitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwakuwata ka
wananchi hao kujitokeza katika zoezi la uandikishaji wa wawapiga kura wa linaloendelea
nchini kote ilkutimimiza haki yao yakikatiba yakuwachagua wenyekiti wa serikali
za mitaa .
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo Katibu MKuu wawizara
ya TAMISEMi Jumanne Sagini amesema kuwa suala uchaguzi wa serikali zamitaa
linalenga kuwachagua viongozi katika ngazi za mitaa ambapo ndio msingi
wamaendeleo ya taifa kwa ngazi za mitaa .
‘’Uchaguzi
wa viongozi wetu ambao nimsingi wa maendeleo katika masuala yetu mbalimbali
yakijamii ,kiuchumi na kisiasa na badala yake tunakuwa wakwanza kulaumu
badalayake tunatakiwa kushiriki ‘’Alisema katibu mkuu Jumanne Sagini.
Katibu
mkuu
Tamisemi JUMANNE Sagini aliwataka vyama vyasiasa kushiriki kikamilifu
katika uchaguzi huo ambao hutoa dira yauchaguzi mkuu unaotajajiwa kufanyika
mwakani .
KATIBU MKUU WA TAMISEMI JUMANNE SAGINI Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo juu ya taarifa kwa wananchi kujitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa. |
Alisema
uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika desemba 14mwaka mwaka huu utajumuisha jumla
yakata 3,802mitaa3741,vijiji 12,443 vitongoji 64,616ambapo kila raia watanzania
aliyetimiza miaka 18 nazaidi kuweza kujitokeza katika uchaguzi huo .
‘’uchaguzi
wa serikali zamitaa unatarajiwa kufanyika desemba 14 ambapo jumla kata 3,802
mitaa 3741 ,vijiji 12,443 vitongoji
64,616’’aliongeza katibu mkuu TAMISEMI .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni