Jumanne, 28 Oktoba 2014

JESHI LAPOLISI KUIMARISHA DORIA KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU KATIKAKIPINDI CHA MWISHO WAMWAKA.

Timothy Marko.
Jeshi lapolisi kanda maalum jijini Dar es salaam limesema kuwa limeimarisha doria katika maeneo ya jiji la Dar es salaam ilkuweza kukabiliana navitendo vya kihalifu vinavyotokea katika mwisho wa mwaka nakuwa toa wasiwasi wananchi kuhusiana hali yausalama katika jiji hilo .
Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam, Kamishina SULEMANI KOVA amesemakuwa katika kipindi hiki chamwisho wamwaka kunakuwa na matukio mengi yakuhalifu ya uporaji fedha naujambazi wakutumia silaha hivyo jeshi hilo limeanza operesheni maalumu ya kuzuia vitendo vyakiahalifu kuanzia leo usiku ilikukabiliana navitendo vya uhalifu hususan mwisho wamwaka .
‘’Kama inavyofahamika kuwa hiki nikipindi cha mwisho wa mwaka watu wengi hukusanya fedha kwajili ya mahitaji yao hususan kuwaandalia watoto ada  za shule nakufanya mipango mbalimbali katika mwisho wamwaka wengi wao huendalikizo  katika kipindi hiki pia katika kipindi hiki uhalifu hukua kwa kiwango chajuu sana hivyo sisi kama jeshi lapolisi tumeanzisha operesheni maalum ya kupambana na uhalifu ‘’Alisema Suleiman KOVA.
Kamanda Suleiman kova amesema kuwa kutokana na hali ya uhalifu kuongezeka katika kipindi cha mwisho wamwaka nawahalifu hao kutaka njia za mkato za kujikimu kimaisha jeshi hilo halitokaa kimya kuona vitendo hivyo vikiendelea na mali za wananchi kupotea hivyo jeshi hilo lita anza opesheni hiyo kuanzia usiku wa hileo ilikukabiliana na vitendo hivyo.
Amesema kuwa opesheni hiyo itajumuhisha msako wa wahalifu mtaa kwa mtaa katika maeneo yote ya jiji la Dar es salaam na kuwa taka wananchi kusosafirisha fedha bila kuwa na escott yapolisi kwani eskot hiyo nibure.
‘’Kitendo cha wananchi wanao safirisha fedha bila kuwa na escott ya polisi ikiwemo kusafirishafedha katikabuti za gari hiyo nisawa na kujitafutia kifo hivyo nawaomba wananchi wanaosafirisha fedha kuomba escot yapolisi ilkuepukana hatari yakupoteza maisha yao ‘’Aliongeza Kamanda Suleiman kova.
Katika hatuanyingine jeshi hilo linawashikilia watuhumiwa waujambazi 13 kwatuhuma zakupora fedha katika benki ya stanbic iliopo jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni