Timothy
Marko
Waziri
wafedha mheshimiwa saada mkuya amezindua ripoti maalum inayohusiana na maswala
ya utafiti wa mapato na matumizi ya kaya binafsi ya mwaka 2011/12 ambapo ripoti
hiyo imelenga kutoa viashiria vinavyohitajika katika mapambano ya umasikini na
kuboresha hali ya kimaisha kwa wananchi .
Akizindua
ripotihyo jijini mapema hileo Waziriwa fedha Saada MKUYA amesema kuwa hali
yaumasikini imekuwa ikipungua siku hadisiku ambapo katika kipindi cha mwaka
2007 umasikini umepungua kutoka asilimia 34 .4 hadi kufikia 28.2 kwamwaka 2012 katika
utafiti huo pia ulioneshakuwa jumala ya shilingi 36,482 zinahitajika katika
kukidhi mahitaji yamsingi ya mtu moja kwa mwezi moja ikilinganishwa shilingi
19,201 kwa mahitaji yaina hiyo mwaka 2007.
‘’katika
chapisho hili linaonesha mwenendo wa hali yaumasikini namakundi yaliyo athirika
ambapo umasikini umepungu akutoka asilimia 34.4 kwa mwaka 2007 hadikufikia 28.2
mwaka 2011/12 ambapo kiasi chashilingi 36,482 zilihitajikakukidhi mahitaji ya
mtu moja kwa mwezi mmoja shilingi 19,201 kwa mahitaji yaina hiyo katika kipindi
cha mwaka 2007’’Alisema Waziri SAADA
MKUYA.
Waziri
saada mkuya alisema kuwa sambamba nahali yaumasikini kupungua pia kumekuwa na
ongezeko laudahili wa wanafunzi waliojiunga na elimu ya sekondari kutoka
asilimia 15.0 kwakipindi cha mwaka 2007 hadi asilimia 30.0 kwa mwaka 2011/12.
Alisema
katika ripoti hiyo imeonesha kuwa kiwango cha watu wanajua kusoma na kuandika
kimeongezeka kutoka asilimia 77.2 kwakipindi cha mwaka 2012 ikilinganishwa
asilimia 72.5 mwaka 2007.
‘’Katika
eneo la sekta ya afya idadi yawatu wanaopata huduma za zahanati imeongezeka
kutoka asilimia 41.6 mwaka 2007 hadi asilimia 55kwakiipindi cha mwaka 20011/12 ‘’aliongeza saada mkuya .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni