Timothy Marko.
Katika kuhakikisha
changamoto mbalimbali za utumishi wa umma zinapatiwa ufumbuzi wa kudumu tume yautumishi waumma imesema kuwa
inaendelea kufanya ukaguzi wataasisi za kiserikali ilkuweza kubaini uzingatiaji wa sheria nakanuni za ajira
zinafuatwa na waajiri na malaka zajira zahapa nchini .
Akizungumza
jijini na waandishi wa habari mapema hii leo, Naibu katibu mkuu wa tume
yautumishi waumma nchini Neema Tawale amesema kuwa tumehiyo yautumishi waumma
imekuwa ikitoa elimu yamaswala mbalimbali yahusuyo utumishi wauuma ikiwahusisha
wadaumbalimbali kama vile vyombo vya habari pamoja nakutoa miongozo ya sera
mbali mbali za utumishi wa umma nakufanya maonesho yatume hiyo ilikuhimiza nakukuza uelewa washeria nakanuni mbali
mbali.
‘’Tume
yautumishi waumma nchini imekuwa ikifanya ukaguzi ilikuweza kufuatilia
uzingatiaji washeria nakanuni nataratibu katika kushughulikia wa ajira
unaofanywa nawaajiri namamlaka za ajira ‘’Alisema Neema Tawale.
Neema tawale
alisemakuwa tumehiyo yautumishi waumma itaendelea kuwa chukulia hatua watendaji
wakuu nawatumishi wa umma wanaokiuka sheria nataratibu za ajira endapo
watumishi hao watabainika kuwa waajiri au mamlaka za ajira zimeshindwa
kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuwaita waajiri Hao kwa mujibu wa sheria za
ukiukwaji wautumishi wauma kifungu10(h)cha sheria yautumishi waumma namba 8 ya mwaka 2002 .
Alisema ilkuweza
kukabiliana naupungufu wa rasmali fedha katika tume hiyo imeendelea kuwasiliana
naserikali kuhusu kuongezewa wigo mpana wabajeti yake ilkuongeza idadi
yawatumishi kwa mujibu waikama yake .
‘’tumeendelea
kuwasiliana naserikali kuhusu kuongezewa wigo wa bajeti yake nakuongezawa
watumishi kwamujibu waikama yake.’’Aliongeza Naibu katibu mkuu Neema tawale .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni