Jumatano, 9 Julai 2014

UINGEREZA YA AHIDI MAKUBWA KWA TANZANIA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI.

Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha  vitendo vya ujangili vinatokomezwa hapa nchini Serikali kwa kushirikiana na nchi ya uingereza imefikia makubaliano yakutokomeza vitendo vya hivyo vya ujangili  ambapo serikali ya uingereza imesema itashirikiana na nchi ya Tanzania katika kukomesha vitendo ikiwemo kutumia mbinu za kisasa .
Akizungumza jijini leo Waziri wa mali asili nautalii Lazaro Nyarandu amesema kuwa suala laujangili limekuwa nikubwa nakusitiza kuwa Tanzania kwakushirikiana najumuhihia yakimataifa pamoja nanchi ya uingereza itahakikikisha biashara haramu ya meno yatembo inakomeshwa kwa kuboresha miundo mbinu yakudhibiti biashara hiyo.
‘’tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakimwemo askari wanyamapori wamekuwa wakikabilialana na vitendo vya ujangili hadi kufikia kuhatarisha maisha yao ilkupunguza vitendo vyaujangili’’Alisema Lazaro Nyarandu.
Nyarandu alisema Vitendo vyaukuwaji wabiashara yameno yatembo vimekuwa vikishamiri kila siku ambapo katika mbuga yaseluo kumekuwa naidadi yatembo wengi  lakini kilasiku tembo hao ambao hadi hivisasa wamefikia idadi ya lakisita nawanazidi kupungua siku hadi siku .
Alisema katika bara la Afrika nchi nyingi katika bara hilo lina sifika kwakuwa na tembo wengi kuliko mabara  mengine ulimwenguni.
‘’Kwakuboresha mafunzo ya askari wetu wanyamapori jinsi yakukabiliana navitendo vyaujangili hapa  nchini tutatokomeza kabisa tatizo laujangili hapa nchini ‘’Aliongeza Waziri  Nyarandu.
Kwa upande wake waziri wa uingereza Mark simmond amesema kuwa Katika kumbambana navitendo hivyo vya ujangili hapa nchini serikali ya Tanzania  haina budi kutoa elimu kuhusiana navitendo haramu wa uwindaji wa tembo nakuvikomesha  kabisa.
Mark Simmond ameitaka Tanzania  kuimarisha ulinzi  ikiwemo kuwapa mafunzo askari wanyamapori nakuwqaelimisha madhara yakujihusisha navitendo haramu vya uuwaji wa wanyamapori hapa nchini .
‘’Katika kupambana na vitendo hivi nilazima kuwepo najitahada za makusudi ikiwemo kuweka mipango yamdafupi na muda mrefu’’Alisema Simmond.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni