Timothy Marko.
KUFUATIA Utata wa kifo cha aliyekuwa Balozi wa Libya ISMAIL HUSSEN hapa nchini nakudaiwa kuwa balozi huyo kuwa amejiuwa mwenyewe kwasababu zisizo julikana jeshi lapolisi kanda maalumu jijini Dar es salaam limesema kuwa jeshi hilo bado linaendelea nauchunguzi ilkuweza kubaini chanzo cha kifo cha balozi huyo walibya hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Kamishina wa polisi kanda maalumu jijini Dar es salam Suleiman Kova amesema kuwa kwakushirikiana na wizara yamambo ya nje pamoja na ubalozi wa Libya wa hapa nchini watafanya uchunguzi juu yaundani wakifo chake iliku baini chanzo cha tukio hilo.
‘’Jeshi lapolisi kanda maalumu ya Dar es salam bado linaendelea kuchunguza juu yakifo cha Ismal Husseni ambaye ni balozi wa Libya hapa nchini kwakushirikiana nawizara yamambo yanje na ubalozi wa Libya wa hapa nchini tunaendelea kufanya uchunguzi ilkubaini nini chanzo cha tukio hilo’’Alisema Suleiman Kova.
Katika hatua nyingine jeshi hilo limekiri wazi kuwa wamepata taarifa za tukio lilo tokea hivi karibuni lakushambuliwa kwa risasi kwa gari la askari magereza namtu ambaye hakufamika jina lake nakusisitiza kuwa kuwa gari hilo halikuvamiwa na majambali balikulikuwa na baadhi yaw a halifu waliovyamia gari hilo.
Kamanda Kova alisema kuwa kulikuwa na wahalifu wawili ambao mmoja aliweza kupiga risasi mbele ya gari hilo namwingine aliweza kupiga risasi katika eneo la nyuma yagari hilo la magereza lakini wa tuhao hawakuweza kufanya tukio lingine.
‘’hatujui nini ilkuwa dhamira yao lakini bado tunaendelea nauchungzi ilikubaini nini chanzo nafikiri kwenye mkutano ujao waandishi wa habari tutawaeleza juu yanini kilitokea nanini chanzo chake na tukio hili lilikuwa lina lilkuwa linamlenga nani ‘’aliongeza Suleiman kova.
Aliongeza kuwa kufuatia tukio hilo askari wakike aliweza kujeruhiwa katika titi lake nakusababisha majeraha nahatimaye kukimbizwa hospitalini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni