Timothy Marko
Imebainika kuwa kaya nyingi zinazo ongozwa na wanawake nchini zimekuwa zikikabiliwa na tatizo la umasikini ikilinganishwa na kaya zinazo ongozwa na wanaume hali inayo kwamisha malengo yamilenia kufikiwa kwa wakati ili kuweza kufikia asilimia hamsini kwa hamsini ifika po 2015.
Akizungumza katika washa ya siku mbili kwa waandishi wa habari iliyo andaliwa na taasisi ya takwimu nchini Mratibu wasensa ya watu na makazi nchini Irenius Ruyobya amesema kuwa zaidi ya asilimia 33 ya kaya zinazo ongozwa nawanawake nchini kayahizo zimekuwa zikikubwa na tatizo la umasikini.
‘’Katika matokeo yakutathini hali ya kimaendeleo nchni imeonesha kuwa kaya zinazo ongozwa na wanawake katika maeneo yavijini kaya hizo zimekuwa zikikumbwa natatizo la umasikini kwa asilimia 33 ikilinganishwa na wanaume ambapo kiwango chaumasikini kimepungua nakufikia asilimia 51 ‘’Alisema Irenus Ruyobya.
Irenus Ruyobya alisema katika mikoa inayoongoza kuwa nakaya zinzoongozwa nawanawake hapa nchini nipamoja na Njombe,Simiyu .
Katika hatua nyingine Mratibu wa sensa katika ofisi ya takwimu nchini amesema kuwa watu wenye umri kati yamiaka kumi wa najua kusoma nakuandika ambapo nisawa na Asilimia 78 alisistiza kuwa katika mkoa wa Dar es salaam wanaojua kusoma nakuandika ni asilimia59.
‘’katika matokeo yasensa ya mwaka 2013 ilionyesha kuwa wanaujua kusoma nakuandika nikati ya asilimia 72hadi 78 ambapo katika mikoa ya Tanzania Zanzibar ni asilimia themani nanne wakati Tanzania bara ni asilimia 74’’Alisema Ruyobya.
Ruyobya alisema kuwa katika shughuli za kiuchumi hapa nchini zinaongozwa nasekta yamifugo kilimo pamoja nauvuvi ikiwa nisawa na asilimia 65 wanaojishughulisha na shughuli hizo ambapo zaidi ya asilimia 19 wamejiajiri wenyewe wakati asilimia 13 tu ndio wameajiriwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni