Ijumaa, 9 Mei 2014

SERIKALI :TUMEJIZATITI KUPAMBANA NAUJANGILI

Timothy Marko.
Katika kuhakikisha tatizo laujangili linatokomezwa serikali imeweka mikakati mathubuti  ikiwemo kuimarisha ulinzi nakuanzisha operesheni malumu pamoja nakutunga sheria zitakazo dhibiti ujangili hapa  nchini.
Akizungumza leo jijini Makamu wa Rais  wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania  DK.Mohamed Gharib Bilali amesema kuwa pamoja nakuwepo jitahada kubwa za serikali katika kutokomeza swala ujangili nchini bado kumekuwa nachangamoto ya fedha namitaji ,vifaa,pamoja natekenolojia pamoja na mafunzo  pamoja naushiriki hafifu katika kutokomeza ujangili.
‘’pamoja na jitihadakubwa zinazofanywa naserikali kupambana na ujangili bado kunachangamoto yakuwewepo namtaji mdogo na uhaba wavifaa pamoja nateknolojia pamoja na mafunzo na ushiriki hafifu wajamii katika kutomeza ujangili’’Alisema makamu  wa Rais DK Mohamed  Bilali.
Makamu wa Rais DK Mohamed Ghalib bilali alisema Tanzania inajivuniakuwepo kwa rasmali nyingi za wanyama ulimwenguni nilazima wadau wa uhifadhi wa wanyamapori waweze kusimamia jitahada za serikali katikautekezaji wa kumbambana naujangili nausafirishaji haramu wapembe za ndovu.
Alisema kuwa vizazi vijavyo vya wanyama pori nchini hususan tembo inategemea ulinzi wanyamapori hao katika maeneo yao ya asili nakuongeza kuwa kwakushirikiana najumuhia yakimataifa naserikali itaweza kulitokomeza kabisa swala la ujangili.
‘’sekta ya utalii inachangia zaidi yaasilimia 17 ya pato lataifa ambapo zaidi ya watu milioni tatu wamejiriwa kupitia sekta hiyo lakini pamoja nakuwepo kwa changamoto serikali itaendelea kupambana naujangili’’alisemaMakamu wa Rais.
Kwaupande wake waziri wamali asili nautalii Razaro Nyalandu amesema kuwa serikali imeanda mkutano huo wakitaifa na jumuhia yakimataifa ilikuweza kupambana katika suala la ujangili .
Waziri Nyarandu alisema kupitia wizara yake itanzisha mamlaka mpya itakayosimamia uhifadhi wawanyamapori nakupambana na ujangili ambapo makaomakuu yataasisi hiyo yatarajiwa  kuwa  katika mkoa wamorogoro katika hifadhi ya Ngorongoro.
‘’serikali itajiri askari wapatao 482ilikufikia idadi ya askari 939 pia tunatajiakuanzisha mamlaka ya anga pia tutatumia Hebkopta aina yabell ilikudhibiti vitendo vya ujangili ‘’alisema waziri Razaro Nyalandu.
Aliongeza kuwa zaidi yamagari 170 yatarajiwa kuongezwa katika hifadhi ilikulinda wanyama pori nakusisitiza kuwa chuo cha ufadhi wanyamapori kinawekewa nguvu katika kuimarisha ulinzi wawanyamapori.
Katikakudhibitiujangili Amesema tayari tayari serikali imewatia nguvuni watu wanaoua tembo ambapo aliwabainisha watuahao kuwa baadhi yao niwafanyabishara,pamoja navigogo kutoka serikalini.
Aidha alisemakuwa hata Rais kikwete ameliagiza  nakuweka msisitizo kuwa swalaujangilili silakuchezewa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni