Timothy Marko.
CHAMA cha ngumi mkoani Dar es salaam (DABA)kimendaa mashindano yangumi kuania kombe la meya wajiji hilo ambapo mikoambali mbali ikiwemo Tanga,Tabora,Arusha pamoja nanchi za afrika mashariki .
Akizungumza leo jijini afisa wahabari wa chama changumi jijijini Dar es salaam(DABA)Mwamvita Mtanda amesemakuwa mashindano hayo yanatarijiwa kufanyika juni 4 hadi juni 7 ikiwa nalengo lsakuwakutanisha vijana nakuwahamasisha kuachana na matumizi yamadawa yakulevya .
‘’mashindano haya yangumi ambayo yatafanyika juni 4 hadi juni 7 mwaka huu yanalengo lakuwakusanya vijana na kuwa hamasisha kuachana namadawa yakulevya ‘’alisema Mwamvita Mtanda.
Mwamvita mtanda alisema kuwa mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa nimeya wa jiji la Dar es salaam ambaye pia atahusika katika mashindano hayo .
Alisema hivi karibuni vijanawengi wamekuwa wakijihusisha na madawa yakulevya ambapo kundi kubwa lavijana limekwa liki athiriwa na madawa ya kulevya hali inayo pelekea Taifa kukosa nguvu kazi ambao ni vijana.
‘’sisi kama Chama changumi cha Dar es salaam tume ona vijana wengi wamekuwa wakiathiriwa na madawa yakulevya hali inayopelekea taifa kukosa nguvu kazi ambao ni vijana ‘’alisema afisa habari wa DABA.
Aliongeza kuwa kwa kutoa wito kwa vijana ilikuja kujishudia wenyewe mashindano hayo ilkupata hamasa yakuondokana namadawa yakulevya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni