Timothy Marko
Shule ya msingi makuka jijini Dar es salam wilayani kinondoni inakabiliwa naupungufu wa wa matundu ya vyoo 28 ambapo yaliyopo hadi saasa ni matundu 12 hali inaypelekea wanafunzi washule hiyo kukosahuduma hiyo stahiki.
Akizungumza jana katika shule hiyo mwalimu mkuu wa shule ya makuka iliyopo jijini Evetha Gasper amesema kuwa hali hiyo imekuwa ni yakipindikirefu ambapo jumla ya wanafunzi 2000 hutumia matundu hayo kujisitiri hali inayopelekea wanafunzi kupata wakati mgumu pindi wanapo hitaji huduma hiyo ya choo.
‘’Shule hii yamsingi makuka imeanzishwa mwaka 2011 ambapo inajumla ya wanafunzi wapatao 2000 mbaka sasa tuna jumla ya matundu 12 tu yachoo wakati tunahutaji wa matundu 28 ya choo shuleni hapa’’ alisema Evetha Gasper.
EVetha Gasper alisema kuwa shule hiyo yamsingi inajumla ya wanafunzi 2000 ambapo wasichana ni 1022 wakati wavulana 998 pia ina upungufu wa vyumba vya madarasa 40 wakati hadi sasa ni vyumba vya madarasa 12 tu ndivyo hutumika kama madarasa.
Alisema katika shule hiyo pia inakabiliwa naupungufu wa madawati 600 Wakati hivi sasa shule hiyo inajumla yamadawati 366hali inayopelekea baadhi ya wanafunzi kukaa chini .
‘’baadhi yawanafunzi hukaa chini wakati shule yetu inakabiliwa na upungufu madawati 600 wakati madawati yaliyopo sasa ni madawati 366tu tunaiomba serikali itusaidie tatizo hili ‘’alisema mwalimu mkuu wa shule hiyo Evetha Gasper.
Mwalimu mkuu wa shule makuka aliongeza kuwa pamoja nachanga moto wanazokumbanazo shule hiyo imeweza kushika nafasi ya 48 katika ngazi yawilaya katika kipindi chamwakajana .
Mwalimu mkuu washule hiyo alisisitiza kuwa katika upande wakitaifa shule hiyo imeshika nafasi ya1139 kati yashule 115656 .
‘’ufaulu upo vizuri kama kipindi cha mwakajana shule yetu ilishika nafasi ya 1139 kitaifa kati ya shule 115656’’aliongeza Evetha Gasper
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni