Jumatano, 5 Machi 2014

SERIKALI YAFANYA MAKUBALIANO NA NCHI YAUFARANSA KATIKA KUBORESHA SEKTA YA MAJI KATIKA MIKOA YAMWANZA,BUKOBA NAMUSOMA


Na Timothy Marko.
Serikali ya Tanzania kupitia wizara yafedha imesaini  makubaliano na nchi ya ufaransa juu ya kuboresha sekta ya maji katika mikoa ambayo inaupungufu wa maji ambayo ni mwanza katika wilaya za misungwi lamadi namagu pamoja namkoa wa  musoma, bukoba.
Akisaini makubaliano hayo leo jijini, waziri wafedha saada mkuya amesema kuwa msaada huo unatajiwa kugharimu shilingi takribani shilingi bilioni 90 ilikuweza kuendesha mradi huo,wakuboresha pamoja nakusambaza maji katika mikoa hiyo.

‘’mradi huu unakaridiliwa utagharimu shilingi uro milioni 104.5 ambapo mradi huu unafadhiliwa na taasisi ya maendeleo ya ufaransa ijulikanayo kama French Development agency (AFD)ikishirikiana na serikali ya Tanzania ‘’alisema waziri wafedha saada mkuya .

Saada mkuya alisema msaadahuo pia utajumuisha msaada wakifundi ambao unafaadhiliwa nataasisi ya EU-Africa infrastructure Trust fund aliongeza kuwa jumla euro milioni 7zitaweza kufanikisha mradi huo.

Aliongeza kuwa progamu hiyo nimoja ya ajenda muhimu ya maendeleo ya kuboresha maendeleo yakiuchumi nakijamii kwa wananchi ilikuhakik isha wananaoishi kando kando yaziwavictoria wanapata maji safi na salama,nakuboresha mazingira katika eneo laziwa hilo la Victoria.

‘’ikumbukwe jumla  yawakazi wanao patamaji safi nasalama niasilimia 52.5katika mwaka2012 kwahiyo tunafanya juhudi madhubuti ilikuweza kufanikisha mpango huu’’aliongeza waziri mkuya.

Kwa upande wake waziri wamambo yanje waufaransa Nicole Bricq amesema lengo lamradi huo nikuwawezesha wananchi wa mikoa ya mwanza ,bukoba pamoja namusoma navijiji vya misungwi,lamadi na magu kuweza kupata maji safinasalama ilkuweza kuboresha mazingira ya ziwa Victoria amapo alisema mradi huo utawanufaisha jumla ya wakaazi 450,000 waishio kando kando yaziwa hilo.

Aliongeza kuwa mpangohuo utawezesha kufikia malengo yamilenia ya mwaka 2025ya kupunguza umasikini kupitia huduma za maji safi na salama katika mikoa yamwanzabukoba pamoja na msoma.

‘’mradi huu nimoja yamikakati yaserikali ya Tanzania yakupunguza umasikini ifikaopo mwaka 2025 ukiwa nalengo ya kuwa patia wananchi wa mwanza,musoma ,bukoba,ukiwa nalengo lsakuwa patia maji salama’’alisema Nicole Bricq.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni