Timothy Marko.
Waziri wa mambo yanje naushirikiano wakimataifa Benard Membe amesema ziara ya waziri wamambo yanje wa ujerumani Frank walter kuja nchini imefuatia uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili nikutokanauhusiano wakirafiki bainayanchi hizo ulioweza kudumu kwakipindi kirefu.
Akizungumza jana kwenye ziara aliyoifanya waziri wamambo ya nje wa ujerumani Frank walter waziri wa mambo yanje na ushirikiano wakimataifa Bernad membe amesema ziara ya waziri huyo waujerumani imefuatia ziara aliyoifanya nchini ujerumani mwezi Desember mwakajana.
‘’kuja kwa waziri wa mambo yanje bwana Frank walter inafuatia ziara niloyifanya mwezi Desemba mwakajana nchini ujerumani lengo ya zirahii nikuja kubadilishana uzoefu namamafunzo ya uongozi yahusianayo na maswala yakisheria ‘’alisema Bernad Membe.
Waziri Bernad membe alisema lengo la ziara hiyo ni kuwa karibisha wawekezaji wanchini ujerumani iliwaweze kuwekeza katika reli ya kati.
Alisema wawekezaji hao takribani 65 wanatajia kuwekeza nakuboresha reli yakati nakujenga kiwanda chambolea mkoani mtwara .
‘’lengo la ziara hii nikuja kuwahamasisha wawekezaji wa nchini ujerumani kuja kujenga kiwanda cha mtwara cha mbolea napia kutoa mafunzo wa kitengo chasheria kwa wanafunzi wanaosomea mambo ya sheria katika chuokikuu cha Dar es salaam ili waweze kupata uzoefu wa masuala yahusuyo sheria nchini ujerumani’’alisema Waziri wamambo yanje Benard Membe.
Kwa upande wake waziri wamambo yanje waujerumani Frank walter alisema nchi ya Tanzania inaadhimisha miaka50 ya mahusiano yakiuchumi nanchi yake na Tanzania .
Frank walter alisema baada ya Tanganyika na Zanzibar zilipo ungana zilifanya uhusiano wa kidiplomasia kati yanchi ya ujerumani .
‘’tumeweza kutunza kumbukumbu za kihistoria ili wanafunzi wa vizazi vijavyo waweze kujifunza ‘’alisema walter.
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni