Ijumaa, 7 Machi 2014

SUMAYE AMEITAKA SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA NA NYENZO MUHIMU KATIKA SOMO LAHISABATI ILKUKUZA UFAULU.

Timothy  Marko.
Imelezwa kuwa ubora waelimu nchini lazima utatue  changamoto mbambali zilizopo wanazokumbana wananchi ili kujiletea maendeleo katika nchi zilizoendelea  wame weka kipaumbele sana katika swala la elimu katika maendeleo.

Hayo yamesemwa leo jijini ,na waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye wakati akizindua nyenzo ambambazo zitatumika kwa wanafunzikatika kukuza uelewa wasomo lahisabati nchini.

Akizindua mpango huo waziri mkuu mstaafu fedrick sumaye amesema taifa letu linapitia wakati mgumu wa uboreshaji wa elimu nakujenga hisia kuwa kiwango chaelimu kimeshuka na kuongeza kuwa juhudi mbalimbali zimefanyika ikiwemo  kurekebisha alama za madaraja mbalimbali.

‘’lakini kama tunavyojua hayo yote hayawezi kufanya elimu yetu kuwa bora kama tungehitaji dawa pekee yakurekebisha hali hii nikuboresha mazingira yakutolea elimu na ufundishaji’’alisema waziri mkuu mtaafu Fredrick Sumaye.
Fredrick sumaye alisema tunajua kuwa kunaupungufu walimu pamoja navifaa vyakufundishia pia tuna mazingiraduni ya kutolea elimu lakini bila kufanya marekebisho katika maeneo muhimu ya elimu nakuongeza kuwa bilakufanyahivyo elimu yetu haiwezi kuwa naubora unaoridhisha.

Alisema lazima tuwena walimu wakutosha ambao wanataluma zinzotakiwa nawenye moyo wakufundisha nakusisitiza kuwa lazima kuwepo na vifaa mbalimbali na vitabu vyakiada naziada na mazingira mazuri  ya shule zetu.

‘’aidha tunatambua kuwa baadhi yamahitaji hayo hayawezi kupatikana kwa maramoja yanahitaji gharama kubwa kamanilivyokwisha kuweleza kuwa ulimwengu wasasa unahitaji kujielimisha katika sayansi na teknolojia’’aliongeza Fredrick sumaye.

Sumaye aliongeza kuwa serikali imekuwa ikitoavivutio kadhaa kwavijana wanaotaka kusomea masomo yasayansi lakini vivutio hivyo havija leta mafanikio makubwa .

Aliongeza kuwa somo ambalo limekuwa msingi mkubwa kwa mtu anayetaka kusomea sayansi niteknolojia badala  yahisabati nakusitiza kuwa katika miaka yahivikaribuni somo lahisabati limeonesha kuwa nimoja ya changamoto zinazo zikabili wizara ya elimu na ufundi.

‘’hakuna nchi ambayo imendelea kwakuwa nawatu wasiokuwa naulewa wa hisabati kilakitu tuna chotenda kinategemea misingi yakihisabati halijalishi nilakijamiii,kisiasa,kiuchumivyote vinatendeka vizuri pale ambapo pana msingi wa hisabati’’aliongeza sumaye.
  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni