Jumatano, 12 Machi 2014

KITUO KIPYA CHA TELEVISHENI CHA ZINDULIWA LEO


Timothy  Marko.
Kituo cha runinga  kijulikanacho  TV1 ikishirikiana na kampuni ya kurusha matangazo ya kijiditi ya  star times  kupitia king’amuzi chake  imeweka mikakati yakuboresha vipindi vyake ili viweze kuwa fikia watazamaji wengi waliopo hapa nchini.

Akizungumza nawaandishi  wahabari  leo jijini, mkurugenzi mtendaji wa TV 1 Marcus Adolfson amesema kituohicho  kimelenga kumburudisha mtazamaji  kwakuteng’eza vipindi vya uhalisia ,magizo,tamthilia,watoto,muziki pamoja na vya majadliano.

‘’TVI nikituo ambacho kimepanga kumpatia mtazamaji vipindi bora kabisa vya burudani katika kila aina ya burudani ikiwemo makala,reatilty show ,maigizo,tamthilia ,vipindi vya watoto,muziki ,talkshow, filamu za kitanzania ,filamu za kiafrika,marekani’’alisema  Marcus Adolfson.

Adolfson aliongeza kuwa vipindi hivyo vitakuwa na maudhui ya ndani nanje na vyenyeubora wahali yajuu ilikuweza kuwa fikia watazamaji .
Alisema lengo la kituo hicho charuninga nikuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya utangazaji hapa nchini kwalengo lakutoa vipindi vya burudani tosha kwa mtazamaji.

‘’TV1 imeingia katika sekta ya utangazaji hapa Tanzania  ikiwa nalengo lakuleta mapinduzi katika sekta hii ya utangazaji  ikiwa nania moja ya kuleta mapinduzi  katika sekta ya utangazaji wa runinga  kwakutoa vipindi vitavyoleta burudani tosha kwa watazamaji’’alisema  Adolfson.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni