Na Timothy
Marko
Imeelezwa kuwa
zaidi ya asilimia 80 ya mahitaji yadawa pamoja na vifaa tiba ,vitenganishi
vilivyopo nchini vinapatikana vinaagizwa kutoka nje ya nchi hali inayopelekea
bohari ya madawa nchini (MSD) kufuata taratibu za manunuzi pamoja na miongozo
ya ndani ya nchi na ile ya kimataifa.
Akizungumza leo
na waandishi wa habari jijini,kaimu mkurugenzi wa bohari ya dawa nchini, Cosmas
Mwaifwani amesema utaratibu wauingizwaji wadawa nchini huratidiwa nakusimamiwa
na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA).
Cosmas
mwaifani alisiitiza kwamba dawa yoyote kabla ya kuingizwa nchini lazima iwe
imesajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa pindi inapogombolewa nakuhakisha
unakidhi viwango vya ubora .
‘’Dawa
yoyote kabla yakuingizwa nchini lazima iwe imesajiliwa na mamlaka nakukaguliwa
ilikuhakikisha ubora wake Sambamba na ukaguzi pia bohari ina vitengo vya ndani
na udhibiti ubora ilikuzingatia taratibu zamanunuzi ilikuhakikisha
viwangovyaubora vilivyowekwa’’alisema Cosmas Mwaifani.
Mwaifani
alisema taratibu zamanunuzi katika bohari kama ilivyo taasisi nyingine ya
serikali huongozwa nasheria yamanunuzi ya umma yamwaka 2011 na kanuni zake za
mwaka 2013 .
Aliongeza kuwa
taratibu za manunuzi huanza pale ambapo kuna uhitaji wa dawa Fulani kutoka
katika vituo vya kutolea huduma ya afya nchini sambamba na mgawo wafedha kutoka
kituo husika.
‘’bohari
inayo bodi ya zabuni (msd Tender board kwa mujibu wa sheria ya manunuzi yaumma
yenye wajumbe ambao niwafanyakazi katika bohari wenye utalaamu tofauti’’aliongeza
kaimu mkurugenzi mkuu Cosmas Mwaifani.
Aidha bwana
Cosmas mwaifania alisema njia inaotumika katika manunuzi ya bidhaa nipamojana
kupitia zabuni zakimataifa kutokana na ukwelikwamba zaidi yaasilimia 80 hutoka
nje yanchi.
Alisema kuwa
zabuni yakimataifa iko wazi kwakila mshitiri wandani nanje bila kubaguwa nchi
anayotoka nakuongeza kuwa vigezo vinavyozingatiwa mshitiri lazima zabuni
nabidhaa yake iweimesajiliwa nchini namamlaka zinazohusika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni