Kufuatia
agizo laserikali kuwahimiza wafanyabishara kutumia mashine zakieletroniki (EFD)
pindi wanapo fanya mauzo kwa wateja wake
ili serikali iweze kukusanyakodi
kw a Wafanyabish ara hao nakuleta mgogoro baina yaserikali na
wafanyabisha hao, jumuhia ya wafanyabiashara nchini wametoa taamko .
Jumuhia yawafanyabishara nchini imesema
imeandika barua kwa Rais Jakaya kikwete yakuonana na Rais kikwete kufuatia
nakauli zinazopingana za mawazili wawili ambao ni waziri wafedha naile yawizara
viwanda nabiashara ambapo jumuhia hiyo iliwasilisha baruahiyo 5feburary mwaka huu nakuiwa kilisha kwa
kurugenzi yamwasiliano ikulu
nakumkabidhi ndugu salver Rweimamu siku ya tarehe 11 feburary mwaka
huu na kupewa ahadi ya kukutana Rais.
Akizungumza
leo nawaandishi wahabari jijini ,makamu mwenye kiti wajumuhia ya
wafanyabiashara nchini Partik Masagati
amesema baada yakuwasilisha baruhiyo
,tarehe 12 Feburary mwakahuu ndipo walipokutatana katibu wa rais prosper mbena nakuwataka wafanyabishara hao kutoa kero na
malami ko ili waweze kukukuta na Rais .
Partick
masagati alisema baada yakutoa kero zao kwa katibu wa Rais ndipo siku hiyohiyo
walipata mwaliko kutoka ofisi yawaziri mkuu kupitia kwa naibu waziri wa fedha
nakutoa magizo kuwa ana wahitaji sikuhiyo.
‘’
Tulifarijika sana kusikia hayo nakufanikiwa baada yakukutana waziri
mkuuMizengo pinda ,waziri mkuu alituomba
kuelekeza hoja namalalamiko yetu yaliyopelekea wafanyabishara kufungua
maduka baada yakuleza kero mbalimbali
‘’alisema partiki masagati.
Masagati
alisema malamiko ambayo wafanyabishara wanadai
niyakimfumo hali inayopelekea kwa wafanyabiashara hao kuto kuwa nahaliyasitofahamu kwa uendeshaji
wabishara zao.
Aliongeza
kuwa msingi wamalalamiko hayo nikutokana nakuwepo kwa mianya ya rushwa katika meneo
yabandari na matumizi ya mashine zakietroniki hali inayopelekea mianya ya rushwa
kwa baadhi yawatendaji wa mamlaka ya mapato .
‘’waziri mkuu
alitupongeza kwa jinsi kuteng’eza hoja
kujenga hoja nakuongeza mapato ya serikali nakubaini mianya yarushwa na kuhaidi
ataifanyikazi ‘’aliongeza partik
masagati .
Aliongeza
kuwa Kufatia hayo wazirimkuu ameweza kuchukua hatua za awali ikiwemo kufuta
notisi zilizotolewa na mmlaka ya mapato utekekezwaji
usitishwe.
Mwenyakiti
wajumuhia hiyo alisema waziri mkuu amedridhia kuundwa kwa chombo malumu
kitakacho pitia mfumo wa kodi nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni