Ijumaa, 31 Januari 2014

SERIKALI YAZINDUA MPANGO WAMAPITIO YASERA YAVIWANDA NCHINI LEO

Waziri mkuu  mizengopinda  amezindua  sera ya mapitio  yaviwanda ili katika kuleta maendeleo sekta yaviwanda kuwa na maendeleo ya kiuchumi kwakushirikiana na taasisi za nje na ndani ya nchi.

Akizindua mpango huo wasera ya mapitio ya viwanda leo,  waziri mkuu Mizengo pinda amesema kwakushirikiana serikali pamoja na taasisi binafsi Tanzania imekuwa katika mabadiliko ya kiuchumi katika kukuza sekta binafisi za nje nazile ndani hasa zile za viwanda ilikufikia malengo ya kuondoa umasikini ifikapo mwaka2025.

Aidha mizengo pinda alisema lengo ya mabadiliko hayo ni kuimalisha sekta biashara namazingira yauwekezaji ilikuleta matokeo yatakayo wawezesha wawekezaji wanje kuja kuweza kuwekeza nchini Tanzania nakuonyesha fursa za kiuchumi zilizopo nchini.
‘’tumeshuhudia makampuni yakigeni yakiwekeza katika sekta mbalimba limbali ikiwemo sekta za madini ,mafuta,gesi nakuimarisha huduma kwamfano shilika la FDI limeweza kuleta fedha zakigeni takribani dola 3738.3milioni katika mwaka wa 2010 ,wakati mwaka 2011 takribani dola milioni 4123 zimekuwa zikikusanywa.’’alisema waziri mkuu mizengo pinda.

Mizengo pinda alisema katika sekta yakilimo pekeyake imeweza kuongezeka kutoka dola za kimarekani shilingi milioni 304.5 kwakipindi cha mwaka 2010 hadikufikia dola zakimarekani milioni 355.4 kutoka dola zakimarekani 304.5 katikakipindi cha mwaka 2011.
Aliongeza kuwa sekta yaumeme nagesi imelingizia taifa dola zakimareka ni kutokadola328.6 hadi kufikia d0la 539.5 milioni katika mwaka 2010 hadi 2011.
Alifafanua kuwa sekta ya uzalishajibidhaa viwandani imeongeza pato kutoka dola za kimarekani miloni 1332 katika mwaka 2010 hadi kufikia dola milioni 1520.5katika mwaka 2011.
‘’katika sekta yahuduma kumekuwa naongezeko lakutoka kiasicha shilingidola milioni747 hadi kufikia 872 milioni 2011.
 aliongeza kuwa mabadiliko hayo yametokana nakuwepo na mazingira mazuri yakijografia na hali yautulivu na amani nakuwezesha pato lataifa kukua kutoka asilimia 7.mwaka jana hadi kufikia asilimia 7.2 mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni