Ijumaa, 7 Februari 2014

JESHI LAP0LISI KANDA MALUM LAKAMATA RISASI ZAKUTUNGULIA NDEGE ZINAZOTUMIKA KWENYE UHALIFU


Na Timothy Marko.
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limefanikiwa kukamata risasi zinazotumika   katika kutungulia ndege zipatazo 85 za mm12 navichwa vyarisasi vipatavyo 63 ambavyo hutumika katika matukio ya kiarifu .
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini kamishina wa polisi wa kanda maalumu jijini Dares salaam Suleiman kova alisema risasi hizo zimepatikana baada yajeshi lake kuendesha operesheni maalumu katika maeneo yakiluvya madukani januari 30 mwaka huu katika wilaya kinondoni  baada yakupata taarifa kutoka kwa raia wema.

‘’Risasi hizi zinazotumika katika kutungulia ndege tumezikamata baada ya jeshi letu lapolisi kuendesha operesheni maalumu katika maneo ya kiluvya madukani  mnamo januari 30 mwaka huu baada yajeshi lapolisi kupata tarifa kwa raia mwema kuwakatika eneolake kuna rundo lavitu vinavyodhaniwa kuwa na risasi’’alisema kamanda Suleiman kova.

Kamanda sulemani kova alisema, baada yajeshi lake kupatiwa taarifa hiyo kutoka kwa raia mwemahuyo ndipo mkuu waupelelezi kimara akiwa nakikosi kazi walifikaeneo latukio nakubaini kifurushi chenye risasi 85 na vichwa vya risasi vipatavyo 63 hatahivyo aliongeza kuwa jeshilake bado linaendelea nauchunguzi ilikubaini nani mmiliki wa vitu hivyo.

Katika hatua nyingine jeshi lapolisi kanda maalumu jijini Dar es salaam limefanikiwa kukamata pikipiki 4 ambazo zinadhaniwa niza wizi katika kata yakigamboni katika maeneo ya Hunter beach kwalengo lakuwa kamata waalifu wanaosumbua katika maeneo ya fukwe za bahari.

Alisema katika msako huo walifanikiwa kukamata pikipiki nne ambazoni zawizi zenyenamba za usajili TI120 aina yafekon yenye rangi nyekundu,pikikipiki  aina fekoni yenye usajili T604 CHC Rangi nyeusi pamoja boxer yenye namba T483 CJP rangi nyekundu aliongeza kuwa watuhumiwa hao walipohojiwa kuhusu umiliki wapikipiki hizo walishindwa kutolea ufafanuzi.

Aidha kamanda kova alisema katika tukio jingine jeshilake limewakamat a watuhumiwa watatu kwakosa lakuvunja ofisi usiku pamoja nakuiba katika ofisi za city mortgage and finance corporation zilizopo maeneo ya mikocheni bwakitumia  gari lenye namba T814CQM aina ya Rav4 rangi ya kijani.

‘’watuhumiwa hao tayari walishakwisha vunjanakuiba vitu kama Kasiki nakuvipakia katikagari walikuwanalo nawakati wanatokanje yageti tayari askari walifika eneo nakusaidiana wananchi’’alisema kamanda Suleiman kova.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni