Jumatatu, 24 Februari 2014

WAZIRI CHRISTOPHER CHIZA AWATOA HOFU WATANZANIA ;ASEMA HALI YA CHAKULA NI YAKURIDHISHA.


 Timothy Marko
Hali ya chakula nchini imezidi kuimarika kufuatia mavuno mazuri ya msimu uliopita wamwaka 2012/13 kuwa niwakuridhisha  nakufanya mazao mengi kuingia sokoni  ambapo jumla ya tani 14,383,845 za chakula ziliweza kuzalishwa.

Tani hizo nipamojana tani zisizokuwa za mazao yanafaka jumla ya tani 7,613,221ziliweza kuzalishwa na kuingia sokoni wakati jumla ya tani 6,770624 ya mazao yasiyo ya nafaka yaliweza kuzalishwa .
Akizungumza leo na waandshi  wahabari jijini  waziri wakilimo na chakula mhandisi christopher  Chiza alisema mahitaji ya chakula katika mwaka 2013/14 ni jumla yataani 12,149,120 hivyo kumewezesha kuwa na ziada  yatani 2,234,726 ambapo alibainisha kuwa tani 354,015 zilikuwa nizamahindi wakati tani 466,821zilikuwa za mchele jumla yatani 1,413, 890 nakufanya  taifa kujitosheleza kwa chakula asilimia 118.

‘’serikali imeidhinisha jumla yatani 23,312 za chakula cha msaada ili kisambazwe  kwa waathirika 828,063 ambao walionekana kuwa na upungufu wa chakula  katika wilaya 54 za mikoa 16’’alisema  waziri Christopher Chiza .
Waziri chiza alisema hadi kufikia 9febuary mwaka huu jumla ya tani 6,736.126 za chakula kutoka hifadhi yachakula zilichukuliw a na jumla yahalimashauri 18 kutoka kwenye maghala ya kuifadhia chakula nakusambazwa kwa walengwa  wenye upungufu wa chakula . 

Aliongeza kuwa hadi kufika febuary 9 mwaka huu jumla yatani 226,769.544 ambapo tani 226,270.862 ni za mahindi  na jumla tani 498.682 ni za mtama  kiasi hicho kina jumuhisha albaki  25,452 .644 za msimu ulopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni