Mkurugenzi
wa TEHAMA wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ally
Simba akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa
Patrick Makungu (hayupo pichani) katika ufunguzi wa kongamano la siku
mbili kuhusu sheria ya mtandao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni