Waanga wa mabomu Mbagala kuu jijini Dar es Salaam wametoa wito kwa serikali ya jamuhuli ya muhungano wa Tanzania kuwa hawatashiriki katika uchaguzi wa mwaka 2015 kupiga kura kwa kiongozi yeyote yule
Amezungumza hayo Mwenyekiti wa waathirika wa mabomu katika kikao cha kujadili kuhusu madai ya kutopewa kwa kipindi chote wakiwa wanasubiria bila swala lao kufia muhafaka
Hata hivyo wanamikakati ya kuandamana maandamano yalio halali katika kushinikiza madai yao kwa kipindi chte ,pia ni moja ya kutoa changamoto kwa serikali ili kuonesha wananchi hao wanateseka
Hata hiyo wamesema kuwa wanamkakati wa kutafuta wadhamini kupitia mashirika na taasisi mbalimbali kama vile vingozi wa dini taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali ili kuweza kufanikisha madai yao
Waathirika wa mabomu ya Mbagara kuu jijini Dar es Salaau wakijadiliana kuhusu madai ya tangu mwaka 2009, walipopata majanga hayo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni