pichani ni waziri wa afya na ustawi wajamii na baraza la wajumbe wa taalamu wa radiolojia |
waziri wa afya na ustawi wa jamii Husein AlLy Mwinyi amezindua baraza la pili la wataalamu wa radiolojia rasmi baraza hilo lina majukumu ya kusajili na kusimamia wataalamu wa radiolojia ambao ni makundi mbalimbali ya wataalamu wanao fanya kazi katika huduma za radiolojoa na mionzitiba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni