TUNZO YA CRDB BENKI YA BIASHARA INAYOONGOZA KWA KUORODHESHWAKATIKASOKO LAHISA DSE |
Timothy Marko.
SERIKALI imesema itaendelea kuyasaidia makapuni pamoja taasisi za kifedha ilikuziwezesha taasisi hizo kuweza kuchangia pato la taifa nakuweza kukuza uchumi .
Akizungumza katika hafla ya kuwazaidia tunzo mbalimbali zilizotlewana soko lahisa jijini Dar es salam Mkaguzi mkuu msataafu wa mahesabu yaserikali Ludovick Uttoh amesema tunzo zinzotolewa na soko lahisa linawezsha makampuni hayo kujenga utamaduni wakuhudumia jamii baada yakuzaisha mapato yake kupitia huduma zitolewazo taasisi hizo .
''tunzo hizi zinalenga kutathimini kampuni yenyekuuza hisa zake kupitia DSE ,mgawanyo wa gawio ,nauwezo waukwasi wakampuni na namna inavyo tunza mazingira ''Alisema Ludovick uttoh .
Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali mstaafu Uttoh alisema kuwa DSEimekuwa ikichangia kukuza uchumi wake kupitia masoko amitaji hali inayochangia makapuni yanayo orodhesha nataasisi hiyo ya fedha kufanya vizuri .
Katika hatua hinyingine Uttoh aliyataja mkapuni yaliyofanya vizuri katika kuuza amana zake kupitia soko hilo nipamoja na Obirt Security ambapo amekuwa kampuni katika kuuza amana zake kupitia soko hilo wakati benki ya kibishara kuuza hisa zake kupitia sokohilo CRDB ikishika nafasi yakwanza ikifutiwa benki ya maendeleo bank huku makapuni TBC ikongoza kama chombo chahabari ikinachotangaza elimu yahisa kupita soko hilo huku gazeti la citizeni kiongoza kwa kuchapisha habari za hisa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni