Ijumaa, 30 Septemba 2016

BOT UCHUMI UMEKUWA KWA ASILIMIA 7.8

Timothy Marko.
GAVANA wa Benki kuu (BOT) Profesa Beno ndulu amesema kuwa hali ya ukuwaji wa uchumi wa Tanzania umendelea kukua kutoka asilimia 5.8 hadi kufikia 7.9 kwa mwaka huu .

Alisema wakati hali hiyo yauchumi ikikuwa shughuli za kiuchumi zilizokuwa kwa kasi nakuimalisha uchumi nipamoja na sekta yamawasiliano 20.5 sekta ya safirishaji asilimia 30.6 ,uchimbaji wamadini 20.5 huku sekta yamawasiliano nahabari zikishika asilimia 20.5 wakati sekta yabima 12.5

''ukuwaji wa sekta wasekta usafishaji umetokana nausafirishaji wabidhaa nabiria pamoja nagesi kwa njia yabara bara pamoja na gesi ambao umekuwa kwazaidi yanusu ukilinganisha narobo yapili yamwaka jana''alisema Profesa BENO ndulu .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni