WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII |
Timothy
Marko.
KATIKA
kuhakikisha suala la Taka hatarishi linadhibitiwa ipasavyo serikali kupitia
wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto imesema kuwa
itaendesha oparesheni ya uteketezaji wa taka hizo kuanzia kesho .
Akizungumza
na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Afya na
kinga wa wizarahiyo Neema Rubanyila amesemakuwa mradi huo wakuteketeza taka
hatarishi zinzotoka katika vituo mbalimbali vya afya umelenga hospitali tano
zilizopo katika mkoa wa Dar es salaam ikiwemo Hospitali ya taifa ya Muhimbili .
‘’Mradi huu
wa kuteketeza Taka hatarishi zinzotoka hospitali mbambali ikiwemo hospitali ya
muhimbili unalenga hospitali tano hadi kumi nambili katika mkoa wa Dar es
salaam ,juhudi za kutekeza taka hatarishi zilikuwepo tangia mwaka 2011 lakini
mradi huu umekuwa ukikabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo uhaba wavitendea
kazi ‘’Alisema Mkurugenzi wa Kinga wizara ya Afya Neema Rubanyila .
Mkurugenzi
Rubanyila alisema kuwa moja yataka hatarishi zinazotoka katika hospitali
nipamoja nataka zenye vimelea vya madini ya Mecyuri madini hayo huwa na athari
kubwa kwabinadamu hivyo yanahitaji umakini mkubwa katika kuteketeza taka za
jamii hiyo .
Alisema kuwa
Mradi huo wakuteteza taka hatarishi unafadhiliwa na shirika la umoja wamataifa
linaloshughulikia masuala ya afya (WHO)pamoja na Shirika lamaendeleo la umoja
wa mataifa pamoja nashirika la CDC la kutoka nchini Marekani .
‘’Mradi huu
nimuhimu sana kwa mstakabali wananchi wa Dar es salaam nanchi nzima kwa ujumla
kwani taka hizi zimekuwa nihatarishi kwani taka aina za mecyuri huweza kuleta
madhara kwa wananchi ikiwemo kusababisha ulemavu wangozi kutokana na madini
yake kuwa nathari kwa jamii’’Aliongeza Rubanyila .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni