Ijumaa, 30 Septemba 2016

UCHAGUZI WA MKUU MTAFUTA MWENYEKITI WA CHAMA CUF KUFANYIKA SIKU 180.

Tokeo la picha la profesa lipumba
ALIYE KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA CUF PROF.IBRAHIMU LIPUMBA .

Timothy Marko



HUKU kukikiwa na hali ya sinto fahamu juu ya kurudia nafasi yake ya uwenyekiti katika chama chake Cha Civil Unaited Front (CUF) Baadhi ya wanachama wa chama hicho wamekataa uamuzi wa Profess Ibrahimu LIPUMBA kuwania nafasi hiyo nakupewa uwenyekiti wa chama hicho kama ilivyokuwa  awali.

Mtandao huu ulipita katika ofisi za chama hicho mapema hii leo katika ofisi za chama hicho huku kukikiwa namjadala mzito wakurudi katika nafasi yake ya uwenyekiti wachama hicho ,uliambulia kupata nakala ya katiba ya chama hicho.

Katika katiba ya chama hicho cha CUF ulibainisha kuwa ibara ya94 (4) ili elezakuwa endapo Mwenyekiti au makamu mwenyekiti au katibu mkuu wa chama hicho atasimamishwa wadhifa wake kutakuwa nauchaguzi wamwanachama atakayekaimu nafasi yake kwamujibu wakifungu cha105(1)(3) yakatiba ya chama hicho .

Aidha katibahiyo ilieleza kuwa endapo mwenyekiti au kaimu mwenyekiti atafukuzwa katika chama hicho uchaguzi utaitishwa kwa muda usio pungua siku 180.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni