Jumatatu, 6 Juni 2016

IDARA YAUHAMIAJI NCHINI YA WASHIKILIA WAHAMIAJI 4,792 KWATUHUMA ZA KUISHI NCHINI KINYUME NA SHERIA.

Tokeo la picha la nmbTokeo la picha la abbas irovya
Kaimu  Kamishina wa Idara ya uhamiaji Abbass Irovya  akizungumza na waandishi wahabari (hawapo pichani ) Mapema hii leo jijini Dar es salaam.


Timothy Marko .
TAKRIBANI ya Wahamiaji  haramu 4,792 wamekamatwa  na  idara ya uhamiaji nchini ambapo katika kipindi chamwezi april jumla wahamiaji 1,796 waliweza kufukuzwa kutokana na kutokidhi Masharti ya kuishi nchini .
Akizungumza na waandishi wa Habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Kaimu  Kamishina wa Idara ya uhamiaji Abbass Irovya amesema kuwa wahamiaji 132 wamefunguliwa mashitaka na kupelekwa mahakamani kutokidhi Masharti ya kuishi nchini  .

‘’Kesi za wahamiaji haramu takribani 385 zimeweza kufunguliwa nakuendelea kufanyiwa  uchunguzi wakina ambapo takribani wahamiaji haramu 388 wameweza kulipa fani katika kipindi cha Mwezi Novembar mwaka jana hadi kufikia june mwaka huu ‘’Alisema Kaimu Kamishina Abbas irovya .

Naibu Kamishina irovya alisema kuwa takribani kesi 509 zinaendelea kufanyiwa upelelezi ambapo hadi hivisasa Takribani Wahamiaji 294 walikutwa hawana hatia .

Alisema kuwa sambamba na kufanya operesheni hiyo yakuwa baini wahamiaji haramu idara hiyo ya uhamiaji inaendelea kufanya oparesheni maalumu yakuwa baini wageni waliopatiwa vibali vya ajira pamoja nakuangalia vibali vya ukaazi wa wahamiaji hao .

‘’kila mwajiri kilamwaka anatakiwa kutoa taarifa ya ukaazi kwa wahamiaji walioajiriwa katika sehemu mbali mbali kabla yarobo tatu yamwaka haija isha ambapo waajili wasio timiza vigezo hivyo watafikishwa kwenye vyombo vyasheria hii inaendana nasheria namba 8 yauhamiaji yamwaka 2015 ambapo mtuhuhumiwa akishindwa atalipa 50,0000’’Aliongeza Irovya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni