Jumatano, 18 Mei 2016

CAG :OFISI YANGU INAUHABA WA WATUMISHI ,NASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU IPASAVYO .



MKAGUZI wa mahesabu yaserikali Profesa  MUSSA ASSAD

Timothy  Marko.
OFISI ya Mkaguzi Mkuu  wa Mahesabu ya Serikali (CAG) inakabiliwa na uhaba wawatalamu hali inayochangiwa watalamu wengi kushindwa kutimiza majukumu yake kikamilifu .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkaguzi mkuu wa mahesabu yaserikali Mhandisi Mussa  Assad amesema kuwaTanzania inauhitaji wa watumishi 129 wenye fani hiyo ilkuweza kukidhi ya upungufu watumishi 150 waliopo hivisasa katikafani hiyo.

‘’Mahitaji yarasmali watu yameongezeka kutoka idadi ya idadi iliyopo ya watumishi 81 hadi kufikia watumishi 150 hivyo bodi yetu inahitaji watumishi29 wenye fani ya ukaguzi ilikuweza kazi za bodi kwaufanisi ‘’Alisema Mkaguzi mkuu Mhandisi Mussa Assadi .

Mkaguzi mkuu Mussa Assadi alisema kuwa uhaba wa watalamu wa fani hiyo umetokana na uhitaji wawatalamu katika mikoa ikiwemo mikoa mingi nawilaya nyingi zilizo anzishwa hazinawatalamu wafanihiyo wakutosha .

Alisema kuwa hadikufiki mwakahuu Tanzania inajumla ya halimashauri173 ikilinganishwa nahalimashauri 172 za hapo awali ampapo kila ahalimashauri inatakiwa kuwa natimu nne kwakila mkoa kila halimashauri inatakiwa kuwa na watalamu watano ili kazi yaukaguzi itendeke kwa ufanisi .

‘’Hadi hivisasa ofisi yetu inamkakati wakujenga ofisi katika kilamkoa ikiwemo Rukwa Mara na Iringa ,kutokana gharama za ukodishwaji jengo kuwa kubwa taasisi yetu hatutaongeza mkataba ifikapo 30 desemba mwaka huu’’aliongeza MKaguzi mkuu wamahesabu yaserikali Mussa Assadi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni