Timothy
Marko.
SERIKALI
kupitia wizara yamambo yanje na ushirikiano wa afrika Mashariki imezitaka
taasisi za serikali kutumia alama za Jumuhia ya afrika Mashariki ikiwemo
bendera ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania pamoja nabendera yajumuhia afrika
mashariki .
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Msemaji wakitengo
cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya
Mambo yanje ,Ushirikiano wa Kikanda na kimataifa Mindi Kasiga amesema kuwa
Sambamba na bendera ya Tanzania naile ya jumuhia ya afrika Mashariki kutumiwa katika
taasisi za umma pia wakati wawimbo wajumuhia hiyo unatakiwa kuimbwa wakati wa
shughuli za kiserikali .
‘’Hatua
hii niutekelezaji wa mkataba wauuanzishwaji wajumuhia ya afrika Mashariki ambao
katika kifungu cha 7(a)umesisitiza jumuhia hii kuwa jumuhia ya watu hivyo
wananchi wa Tanzania watahusishwa katika hatua zote Mtangamano ‘’Alisema
msemaji wa wizara yamambo yanje Mindi Kasiga .
Kasiga
alisema kuwa Rais wa jamuhuri yamuungano wa Tanzania Dk John Magufuli ambaye
hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wajumuhia hiyo alisema kuwa Tanzania
itahakikisha wananchi wake wanashirikishwa katika hatua mbalimbali za jumuhia
hiyo ilkuweza manufaa nafusa mbalimbali zilizopo katika jumuhia hiyo .
Alisema
kuwa kufuatia nchi ya Tanzania kuwa nimsuluhishi wamgogogoro wanchi ya Burundi muda
mrefu serikali ya Tanzania imemteua Rais wa awamu yatatu Rais Benjamini William
Mkapa kuwa mwenyekiti wamazungumzo wa mgogoro waburundi ambapo kikao cha usuluishi ikinatarajiwa kuanza
mei21hadi 24 mwaka huu huko AICC Arusha .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni