Jumanne, 3 Mei 2016

KUPUNGUA KWA THAMANI YA BIDHAA YAWA MWIBA KWA UKUWAJI WA SEKTA YA VIWANDA NCHINI.

Tokeo la picha la adelhelm meru
KATIBU mkuu  WA viwanda na biashara Adelelhem MERU

Timothy Marko.
WAKATI serikali ya awamu yatano ikisisitiza kujenga uchumi wake kupitia sekta yaviwanda imebanika kuwa nchi ya Tanzania inashika nafasi ya 17 katika nchi zinazokuwa kwa kasi katika sekta ya hiyo duniani .

Akizungumza katika uzinduzi waripoti ya ushindani wa viwanda nchini Tanzania ya mwaka 2015 Katibu Mkuu wa wizara yaviwanda na biashara Adelhem Meru amesema kuwa Tanzania imekuwa ikiongoza kwa kupeleka mazao Ghafi nje yanchi wakati huo kasi yamauzo yanje imepungua kutokana nakupeleka mazao hayo ghafi bila ongezeko lathamani yamazao hayo .

''Thamani ya bidhaa zitokanazo na mazao ghafi nishilingi Dola za kimarekani bilioni 1.9 Kati yabidhaa hizo zimekuwa naubora wakimataifa hali inayoashiria Tanzania tunayo nafasi nzuri ya kukua kiviwanda ''Alisema Katibu MKUU AdelhemMERU.
katibu mkuu Adelhem Meru alisema kuwa nilazima sekta yaviwanda iwekezwe ilkuweza kuleta tija nakuweza kukuza uchumi kwa taifa nakuongeza soko la ajira kwa vijana .
Alisema kwakushirikiana na wadau mbalimbali shirika laumoja wa mataifa linalojishughulisha na viwanda Unido SEKTA hiyo inaweza kukukua nakuweza kuongeza pato la taifa .
''ripoti hii itawezesha dira yetu ya miaka mitano ya maendeleo ambapo ongezeko lathamani yabidhaa kwa ajili yakupeleka nchi za nje imepungua kwa asilimia 9'' aliongeza  KATIBU MKUU Adelhemu MERU.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni