Jumatatu, 2 Mei 2016

KIWANGO CHA MANUNUZI YAHISA DAR CHA SHUKA .

Tokeo la picha la patrick mususa
MENEJA MAUZO NA BIASHARA PATRICK MUSUSA .


Timothy Marko .
SOKO la hisa la Dar es salaam (DSE)limesema kuwa kumekuwa nahali yakushuka kwa kiwango cha ununuzi wa hisa katika soko hilo kutokana na wanahisa wasoko hilo kuhifadhi hisa zao ikuweza kupata faida pindi idadi yahisa kushuka kwathamani ya hisa zilizopo katika soko hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Meneja Biashara na Mauzo Patrick Mmususa amesema kuwa Takwimu zinaonesha kuwa katika wiki hii idadi ya mauzo katika wiki hii imeshukakwa asilimia 60 kutoka shilingi bilioni 6.6 wiki iliyopita ikilinganishwa na shilingi bilioni 1.7 katika kipindi cha wikihii.

‘’Hali ya mauzo yahisa katika soko letu imeshuka hii nikutokana nawawekezaji wengi kununua hisa nyingi katika soko letu nakuzihifadhi wakingojea pindi hisa zitakapo ongezeka thamani ndio maana kumekuwa nakiwango kidogo cha mauzo yahisa ‘’Alisema Meneja Mauzo na Biashara Patrick MUSUSA.

Meneja Mususa alisema kuwa  makapuni yanayo ongoza kununuliwa hisa zake katika soko hilo nipamoja na CRDB 81.23% ,TCC %. 5.71%  TBL %.5.12 Wakati ukubwa wa mtaji wa makampuni  yandani umeongezeka kwa asilimia 1.65% hadi shilingi Trioni 22.4 kutoka trioni 22.05

Alisema kuwa ukubwa wamtaji wa makampuni yandani umeshuka kwa asilimia 1% hadi trioni 8.5 kutoka trioni 8.39 wakati huo huo alibainisha kuwa sekta ya viwanda imepanda kwa asilimia 52.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni