BENDERA YATANZANIA . |
BENDERA YAUGANDA. |
Timothy
Marko.
SERIKALI ya
Tanzania imeingia makubaliano na serikali ya Uganda katika ujenzi wa bomba
lakusafirisha gesi kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda .
Ujenzi huo unaogharimu Dola bilioni 3.57 unafuatiwa makubaliano ya
nchi hizo mbili katika mkutano uliofanyika hivi karibuni nchini Uganda kati ya
Rais wajamuhuri ya muungano wa TANZANIA Dk.Jonh POMBE MAGUFULI na Rais YOWERI
MSEVENI wa Uganda .
Akizungumza
nawandishi wa habari katika mkutano wawatalaam
waujenzi wa bomba hilo jijini Dar es salaam Waziri wanishati namadini
Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa
makubaliano hayo yanajumuhisha ujenzi wa mabomba ya kusafirisha gesi .
‘’Ujenzi huu
wa mabomba utawezesha kusafirisha gesi pamoja na mafuta kati yanchi hizi mbili
za Uganda na Tanzania ujenzi huu utahusisha makampuni binafsi yatakayoingia
ubia katika kusafirisha gesi na mafuta’’Alisema waziri Mhongo.
Waziri MUHONGO
alisema kuwa ujenzi huo wabomba hilo lakusafirisha gesi kwenda Uganda unatarajiwa
kukamilika 2020.
Waziri wa
maendeleo yamadini nanishati nchini Uganda Irene Murumi amesema kuwa nchi yake
itashirikiana nabandari yatanga ililiyopo Tanzania kupeleka gesi na mafuta
nchini Uganda .
Waziri
MURUMI alisema kuwa ujenzi wabomba lamafutanagesi linatarajia kugharimu DOLA
shilingi 3.5 hadi hivisasa wapo katika hatua yawali ya kufanyamaboresho
yamapitio yamradi huo .
‘’Ujenzi huu
wa bomba lagesi kutoka TANZANIA kwenda UGANDA utawashirikisha nchi wahisani
nakikao hiki nicha kwanza baina yanchi hizi mbili ninapenda kushukuru serikali
ya Tanzania kuweza kushirikiana kati yanchi hizi mbili ‘’Alisema waziri Murumi
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni