Jumatatu, 14 Machi 2016

KATIBU MKUU AWATAKA WAKUU WASERIKALI ZAMITAA KUTOA TAKWIMU SAHIHI KWA WAGONJWA WAKIPINDUPINDU.



Timothy Marko .
JUMLA ya WAGONJWA wapatao 758 wameripotiwanchini , kuwa naugonjwa wakipindupindu nchini mwezi huu ikilinganishwa namwezi Febuari ambapo jumla ya wagonjwa 544 waligundulika kuwa naugonjwa huo .

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Katibu mkuu Wa wizara ya afya ,maendeleo ya jamii ,jinsia ,wazee na watoto Michael Jonh amesema kuwa mikoa inayoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi nipamoja mikoa yamorogoro ikiwa nawagonjwa 196 ,Dodoma 142 ,mwanza 108 ,Mara 86 Manyara 77,Iringa 77.
‘’Mikoa mingine iliyoripotiwa kuwa nawagonjwa wakipindu pindu nipamoja na Dar es salaam wagonjwa 42,Mbeya wagonjwa 16 Arusha 10 lindi 2 mtwara 2 na Rukwa wagonjwa wawili’’ Alisema KAIMU Katibu mkuu Michel JONH.

KAIMU katibu mkuu JONH aliwataka viongozi waserikali zamitaa wilaya pamoja na vijiji kuweza kushirikiana na maafisa afya katika maeneo yao kuendeleza mapambano ya kutokomeza mapambano ya vita dhidi yakipindu pindu .

Alisema kuwa nilazima kilawilaya naserikali za mitaa kuendelea kutoa taarifa za wagonjwa wapya waugonjwa huo ilkuweza kusaidia mikakati yakudhibiti ugonjwa huo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni